johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,828
- 141,739
Dunia imeshabadilika na mambo yanaenda kwa kasi sana ndio sababu Rais Kagame amemteua kijana wa miaka 19 kuwa waziri wa teknolojia.
Katika dunia ya leo Zitto Kabwe na Dr Kigwangalla siyo vijana tena bali ni wazee na hata Anthony Mavunde, MwanaFA, Prof Jay hawaitwi vijana kule mtaani ila wanaitwa " wababa"
Kizazi kinachopiga kura mwaka huu ni kile kinachomjua Mwalimu Nyerere kupitia somo la Historia hivyo kinaongea lugha tofauti kabisa linapokuja swala la siasa na ujasiri.
Niwaombe tu viongozi wote wa kisiasa na hasa Tundu Lisu, maalim Seif na Dr Mahera mnapoongea jitafakarini kwanza kuwa mnaongea na jamii ya kizazi kingine na mapokeo yao ni tofauti kabisa na kizazi cha akina mzee Mgaya na mchungaji Erasto.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!