Uchaguzi Ghana: Akufo-Addo ametangazwa mshindi


ng'ombo

ng'ombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Messages
415
Likes
572
Points
180
ng'ombo

ng'ombo

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2014
415 572 180
ghana-jpg.444725


Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Ghana (New Patriotic Party) Bwana Nana Akufo-Ado pichani juu ameshinda uchauguzi mkuu wa urais uliokuwa na upinzani mkali uliofanyika jumatano. Rais wa Ghana John Mahama amekubali kushindwa.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa upinzani kuongoza nchi toka mfumo wa vyama vingi uanze nchini Ghana 1992. Msemji wa chama cha upinzani amesema Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi amemtangaza Bwana Akufo-Addo ameshinda kwa 53.85% wakati Bwana Mahama amepata 44.40%
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,251
Likes
55,113
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,251 55,113 280
Huku kwetu wakina jecha wamejaa kwenye tume zetu za uchaguzi
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Huku kwetu labda baada ya miaka 50 ijayo
 
naan ngik-kundie

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,776
Likes
2,314
Points
280
naan ngik-kundie

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,776 2,314 280
Taratibu taratibu tu ipo siku CCM itaelewa somo.
 
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Messages
1,489
Likes
1,686
Points
280
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2014
1,489 1,686 280
kule ghana, jecha angepelekwa tu, Mahama leo angekuwa mshindi
 
Mwandumi

Mwandumi

Senior Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
151
Likes
84
Points
45
Age
49
Mwandumi

Mwandumi

Senior Member
Joined Nov 30, 2016
151 84 45
Asije kuwa kama Gambia tena
 
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,809
Likes
3,952
Points
280
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,809 3,952 280
Asante Upepo wa Trump, akiapishwa naamini utavuma zaidi
 
Iceman 3D

Iceman 3D

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
20,743
Likes
66,716
Points
280
Iceman 3D

Iceman 3D

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
20,743 66,716 280
Wenzetu Ghana walisha jifunza, walipinduana weee! Baadaye wakaona haina maana, wamerehea kwenye demokrasia ya kweli kama hivi
 
BAVARIA77

BAVARIA77

Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
32
Likes
10
Points
15
Age
29
BAVARIA77

BAVARIA77

Member
Joined Dec 6, 2016
32 10 15
Hawa viongoz wa africa wanaanza kuelewa maana ya democracy kidogo, Ila tutafika tu juz rais Jameeh kakubal leo NANA Kashinda na nadhan bwana John mahama kakubali
 
K

Kapwela

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Messages
2,016
Likes
592
Points
280
Age
48
K

Kapwela

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2015
2,016 592 280
View attachment 444725

Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Ghana (New Patriotic Party) Bwana Nana Akufo-Ado pichani juu ameshinda uchauguzi mkuu wa urais uliokuwa na upinzani mkali uliofanyika jumatano. Rais wa Ghana John Mahama amekubali kushindwa.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa upinzani kuongoza nchi toka mfumo wa vyama vingi uanze nchini Ghana 1992. Msemji wa chama cha upinzani amesema Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi amemtangaza Bwana Akufo-Addo ameshinda kwa 53.85% wakati Bwana Mahama amepata 44.40%
Masahihisho;sio kweli kuwa hii ni mara ya kwanza upinzani kushinda Ghana.

Mara baada ya Jerry Rawlings kuachia madaraka,mpinzani John Kuffour alishinda urais na kutawala kwa awamu mbili akimshinda mgombea wa chama tawala, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jerry Rawlings, Prof John Atta Mills.

Baada ya John Kufour kumalizia vipindi vyake viwili madaraka,mpinzani Prof John Atta Mills alichukuwa madaraka akimshinda aliyekuwa mgombea wa chama tawala na Waziri wa Mambo ya Nje wa John Kufour ndugu Nana Akufo Ado.

Prof John Atta Mills akafariki kabla ya kumaliza kipindi chake, makamu wake John Mahama akachukua madaraka kumalizia term hiyo.

Kisha uchaguzi uliofuata John Mahama alimshinda mgombea wa upinzani sasa, Nana Akufo Ado.

Baada ya kumaliza kipindi chake cha kwanza sasa,.ndio uchaguzi huu sasa Rais John Mahama ameangushwa na mpinzani wake wa chama cha Rais Mstaafu John Kufour ndugu Nana Akufo Ado.

Hivyo toka vyama vingi vianze vyama vya NDC cha Jerry Rawlings na chama cha NPP cha John Kufour vimetoa marais wawili wawili kila Kimoja.
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
5,750
Likes
1,248
Points
280
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
5,750 1,248 280
Ghana sio Mara ya kwanza Chama tawala kuondolewa madarakani. Hata kina mahama walikuwa wapinzani kwa hiyo wamerudi bench Tena.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Nyinyi kwenu demokrasia ni hadi upinzani ushinde, wakishinda chama tawala mnasema wameiba kura.
Father mimi kwenye vyama simo, atakaye shinda twende mradi tu asininyang'anye shamba langu.
 
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Messages
2,346
Likes
1,040
Points
280
Age
61
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2016
2,346 1,040 280
Hakuna je cha huko?
 

Forum statistics

Threads 1,272,590
Members 490,036
Posts 30,454,479