Uchaguzi EALA usogezwe mbele, uteuzi umekiuka Mkataba wa Afrika Mashariki

Nderingosha,

Hivyo, maelezo niliyotoa sasa ni ya mwisho; iwapo hatua stahiki hazitachukuliwa tutawajulisha tutatumia njia gani kubwa zaidi ya kudai haki husika.

JJ

Nafikiri njia kubwa kama alivyoshauri Mkumbo ni kwenda kuweka court injunction EACJ-Arusha na muda mlionao ni leo tu.
 
Haya ni maoni yako Mnyika au ndivyo watanzania wanavyotaka?
Au watu wa Kawe ndivyo wanavyotaka?
Kwa sababu ratio inakwenda 7.8 to 1.2. Kwa hiyo ni 8 to 1.
Unless unazungumzia ubatili wa uchaguzi wa 2010. Ila kama ulikubali matokeo.... then linalofanyika lipo kisheria.
 
Hiyo ni Ratio ya wapi?

Bunge lina wabunge 347

CCM ina wabunge 259 ambao ni sawa na 75%
Wapinzani wako 88 ambao ni sawa ni sawa na 25%

Ukagawanya viti kwa uwiano sawa, 75% ya 9 ni sawa na 6.75 ambayo unaweza kui-approximate kuwa sawa na 7. Halafu 25% ya 9 ni 2.25 ambayo ni sawa na 2.
 
Hiyo ni Ratio ya wapi?

Bunge lina wabunge 347

CCM ina wabunge 259 ambao ni sawa na 75%
Wapinzani wako 88 ambao ni sawa ni sawa na 25%

Ukagawanya viti kwa uwiano sawa, 75% ya 9 ni sawa na 6.75 ambayo unaweza kui-approximate kuwa sawa na 8. Halafu 25% ya 9 ni 2.25 ambayo ni sawa na 2.
Uko sahihi kabisa Keil ila badili hapo kwenye bold iwe 7. Sijui kobello kazitoa wapi hizo ratio zake hata akichukua ratio ya kura za urais ndiyo inakuwa worse zaidi kwa CCM, 60% kwa 40% which means 60% of 9 is approx to 5 and 40% of 9 is approx to 4.
 
Haya ni maoni yako Mnyika au ndivyo watanzania wanavyotaka?
Au watu wa Kawe ndivyo wanavyotaka?
Kwa sababu ratio inakwenda 7.8 to 1.2. Kwa hiyo ni 8 to 1.
Unless unazungumzia ubatili wa uchaguzi wa 2010. Ila kama ulikubali matokeo.... then linalofanyika lipo kisheria.
Ukitaka kutumia ratio hiyo ina maana unatumia idadi ya wabunge wa CDM tu ambao ni 48 (48/347 of 9= 1.25) hapo umewatenga wabunge wa CUF, TLP, UDP na NCCR, ina maana kwamba hiyo nafasi 1 itakwenda kwa CDM pekee.

Lakini ukitumia idadi ya wabunge wote wa upinzani 88 (88/347 of 9= 2.25) utaona wapinzani angalau wanatakiwa wapate viti viwili. CCM inataka kuwadhulumu wapinzani kiti chao waziwazi kabisa.
 
Uko sahihi kabisa Keil ila badili hapo kwenye bold iwe 7. Sijui kobello kazitoa wapi hizo ratio zake hata akichukua ratio ya kura za urais ndiyo inakuwa worse zaidi kwa CCM, 60% kwa 40% which means 60% of 9 is approx to 5 and 40% of 9 is approx to 4.

Asante Mkuu nimerekebisha, mkono uliteleza ... I guess kiwi cha macho, maana Kobello alikuwa amenivuta na hiyo nane yake aliyoiweka kwenye bandiko nililom-quote.
 
Court injunction is the way to go at this stage. CCM is never responsible for anything other than individual interest.
 
Uko sahihi kabisa Keil ila badili hapo kwenye bold iwe 7. Sijui kobello kazitoa wapi hizo ratio zake hata akichukua ratio ya kura za urais ndiyo inakuwa worse zaidi kwa CCM, 60% kwa 40% which means 60% of 9 is approx to 5 and 40% of 9 is approx to 4.
Kuna makundi mangapi? ... na kundi la vyama linatakiwa litoe wangapi?
 
Nderingosha,

Si kwamba nimekuja kutoa malalamiko haya mwishoni, mara ya kwanza kuwasilisha suala hili bungeni ni kupitia mchango wangu wakati wa bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki tarehe 19 Agosti 2011 nanukuu:
"kuhusu Bunge la Afrika Mashariki, Wizara ishawishi mabadiliko ya
kimkataba ili Wabunge wake wachaguliwe na wananchi moja kwa moja. Hii itachangia katika
mtangamano na ushiriki wa umma. Katika kipindi hiki cha mpito, kanuni za Bunge za uchaguzi wa
wawakilishi wa Afrika Mashariki zirekebishwe kushughulika changamoto zilizotokea 2006"

Baada ya kuona Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki na bunge hawakuchukua hatua kwa wakati kufuatia michango mingine ambayo niliitoa kuhusu suala hili tarehe 8 Februari 2012 nikaandika barua rasmi ya kutaka marekebisho/mabadiliko ya kanuni husika; wakati huo tarehe ya uteuzi bado ilikuwa haijatangazwa.

Baada ya kuona barua yangu hiyo haikujibiwa wakati wa Mkutano wa sita wa bunge ambapo ndio ilikuwa wasaa muafaka wa kufanya marekebisho nilitoa tamko kwa umma mwezi Februari: JOHN MNYIKA: Kanuni za Uchaguzi wa Wabunge wa EAC zirekebishwe na vyombo mbalimbali vilinukuu.

Serikali na Bunge hawakujibu kwa wakati wala kufanya marekebisho husika na badala yake wakatangaza ratiba ya uteuzi wa wagombea hali ambayo ilinifanya niwaandikie barua na pia kutoa kauli kwa umma:JOHN MNYIKA: Turekebishe kwanza kanuni ndipo tufanye Uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki!

Hivyo, maelezo niliyotoa sasa ni ya mwisho; iwapo hatua stahiki hazitachukuliwa tutawajulisha tutatumia njia gani kubwa zaidi ya kudai haki husika.

JJ

Got you Hon.Mnyika........if this is the case...then now you have all the rights to boycott the elections.....kumbe wamekua hawasikilizi!!!!!!but why do they do things like laymen????......... high time for you CDM MPs to prove your stand on this issue now.....
 
Hongera Mnyika it is likely you (opposition) will get one more seat to make two.
 
Hili suala nilishalisema.Kama kanuni hazirekebishwi hapa hakuna mjadala ni kususia uchaguzi.Nadhani tutakuwa tume-adress hili suala katika muongozo wa jumuiya

Hakuna haja kwa CHADEMA kushiriki uchaguzi ambao tunajua mambo ya 2006 yatajirudia

Mashaka haya ndiyo yaliyoleta mnyukano kwenye bunge la Burundi siku chache zilizopita katai ya chama cha CNDD-FDD na vyama vingine.tutegemea mnyukano zaidi kati ya ODM na PNU Kenya

EALA wenyewe walianza mchakato wa marekebisho very late na katka mchakato ambao ulikuwa slow wakiwa wanajua deadline ya uchaguzi wa wabunge katika mabunge ya member states ni April,2012
 
If they don't change the rules of the game, CHADEMA should not participate in these elections. Instead, it should quickly file a case with the EACJ. If it is not too late we could put an injunction so that the elections are suspended until these pending issues are resolved. Otherwise, tunaingia kwenye uchaguzi ambao CCM wanatuamulia nani awe mwakilishi wa opposition katika EALA, na tunajua hawawezi kumchagua mgombea kupitia CHADEMA.
Mkuu Mkandara na JJ. Mnyika, nakubaliana na hoja za Mnyika kwenye mengine yote ila naomba kutofautiana na nyinyi kwenye kanuni. Kanuni inatoa nafasi kwa mjumbe/wajumbe wa opposition ila hakuna popote imeeleza expressilly au impliedly kuwa wabunge hao watatokana na proportion representation ya wabunge wa vyama vyenye uwakilishi bungeni!.

Hii inamaanisha mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki sio lazima atokane na vyama vyenye wabunge bungeni, maana yake wawakilishi hao wanaweza kutoka vyama vyovyote hata ambavyo havina mbenge hata mmoja japo wapiga kura ni wabunge!.

Mathalani Dr. Salim Ahmed Salim angeamua kujutoa CCM honarably na kujiunga na CCK, anayo haki ya kugombea na anaweza kupita kama wabunge wataachana na siasa maslahi ya vyama na kutanguliza utaifa mbele.

Kwa vile vyama vyetu viko kimaslahi zaidi, hata ikitokea Dr. Salim akawa ni bora kuliko William, na kwa vile wanagombea wote, CCM wajikuta wanawajibika kumpigia William kwa sababu tuu ya chama chao na sio kwa ajili ya uwezo!.
 
Pasco, hakikisha umeisoma vizuri hiyo kanuni. Mnyika hajakurupuka tu. Kanuni iko wazi ndiyo maana Chipaka hajawekwa kwenye kipengele cha Wapinzani. Wamemuweka kwenye nafasi ya Bara kama geresha tu.
 
Kanuzi za Bunge ziko wazi:
12. Uchaguzi wa Wabunge wanaokwenda katika vyombo vingine ambavyo kwa mujibu wa Sheria zilizounda vyombo hivyo vinatakiwa viwe na wawakilishi wa Bunge na uchaguzi wa kuwachagua Wabunge wa Bunge la Africa Mashariki utafanywa kwa kuzingatia, kwa kadri iwezekanavyo, uwiano wa idadi ya wabunge wa Vyama mbalimbali vya Siasa vinavyowakilishwa Bungeni, uwakilishi wa jinsia na uwakilishi wa pande zote mbili za Muungano.
 
Usisahau hizo categories kwenye nyekundu.
 
Mkuu Mkandara na JJ. Mnyika, nakubaliana na hoja za Mnyika kwenye mengine yote ila naomba kutofautiana na nyinyi kwenye kanuni. Kanuni inatoa nafasi kwa mjumbe/wajumbe wa opposition ila hakuna popote imeeleza expressilly au impliedly kuwa wabunge hao watatokana na proportion representation ya wabunge wa vyama vyenye uwakilishi bungeni!.

Hii inamaanisha mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki sio lazima atokane na vyama vyenye wabunge bungeni, maana yake wawakilishi hao wanaweza kutoka vyama vyovyote hata ambavyo havina mbenge hata mmoja japo wapiga kura ni wabunge!.

Mathalani Dr. Salim Ahmed Salim angeamua kujutoa CCM honarably na kujiunga na CCK, anayo haki ya kugombea na anaweza kupita kama wabunge wataachana na siasa maslahi ya vyama na kutanguliza utaifa mbele.

Kwa vile vyama vyetu viko kimaslahi zaidi, hata ikitokea Dr. Salim akawa ni bora kuliko William, na kwa vile wanagombea wote, CCM wajikuta wanawajibika kumpigia William kwa sababu tuu ya chama chao na sio kwa ajili ya uwezo!.
Honestly upande wa wanawake kuna mgombea kutoka cuf NA ANAWEZA KUPATA.
cdm wangeweza kumsimamisha mbunge upande huo, halafu kuna upande wa visiwani, CDM wangeweza kumsimamisha hapo.
Pia upande wa bara, cdm wangeweza kumsimamisha mtu.
Hii ni kutokana na kanuni zilizopo.
 
Back
Top Bottom