Uchaguzi DRC: Martin Fayulu adai kushinda kwa 61%


Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,478
Likes
48,034
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,478 48,034 280
Hizo ndizo habari zilizozagaa nchini Congo , hizi sarakasi za Tume ya uchaguzi ni uzushi tu .
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
1,876
Likes
2,606
Points
280
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
1,876 2,606 280
hapo ndio utaamini hakuna mwanasiasa anaetetea wanyonge wote wanachotaka ni kuneemesha matumbo yao sasa huyo mpinzani aliyekubali kushinda wakati hesabu ya kura za tume ya taifa ya uchaguzi haiendani na hesabu za mawakala wake unaweza kusema kweli alikuwa akipigania masrahi ya wakongoman wanyonge.

Kiukweli kabila si mutu ya muchezo muchezo anataka awagombanishe hao wapinzani wake washinde wanahangaika mahakamani halafu yeye aendelee na urais kwa miaka mingine angalau miwili wakati akitafuta akili nyingine ya kuendelea kukalia kiti cha urais wa kongo
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,084
Likes
1,426
Points
280
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,084 1,426 280
anazidi kupalilia 'post election riot outbreak'
 

Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538