Uchaguzi CCM, CHADEMA na kisa cha viumbe wagumu

blix22

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
213
645
Ukitaka kujua uhalisia wa kisa cha wimbo mmoja wa mwanamuziki wa taarabu nchini wenye moja ya beti maarufu isemayo "viumbe wagumu" basi watazame Chadema.

CCM iko Dodoma inatimiza demokrasia makini ya ndani ya Chama Chadema wapo tu vijana wao wanakesha mitandaoni kujadili ya Babu Seya.

Wiki ijayo CCM inakwenda kumpata Mwenyekiti wa Tatu katika kipindi cha miaka ya karibuni Chadema ina yule yule "Mzee wa KIA" halafu kuna watu wapo tu Chadema wanaimba demokrasia.

Hata vijana wa CCM leo wameonesha mfano wa demokrasia ya ushindani kule Chadema yule jamaa mwenye "expansion valve" hajui hata kapataje uenyekiti wa Bavicha anakenuakenua tu‍♂‍♂

Hii inatosha kuonesha hawa jamaa ni viumbe wagumu kweli kweli.
 
.........
.........kapambane na Kipindupindu
 
Sawa kabisa mleta mada, ila wananchi hawajali yote hayo wameamua kuwakataa kwenye box la kura kwani ndio njia kupima kukubalika kwako. Mmeona hamkubaliki mmeamua kutumia mbinu za kikatili kundelea kuwa madarakani. Hamna mvuto, mmekuwa kama mwananke mzee anayelazimisha kupendwa na vijana wadogo kwa kutumia hela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom