Uchaguzi BAWACHA: Sharifa Suleiman aibuka kidedea Uenyekiti Taifa

Naibu Katibu Bawacha Taifa (Bara) Nuru Elias Ndosi
View attachment 1790185
Matokeo ya uchaguzi nafasi ya Naibu Katibu Bawacha Taifa (Bara):-
1. EMA Theobald Boki - kura 15 2. Brenda Jonas - kura 17 3. Nuru Ndosi - kura 36
Mheshimiwa Bahati Chumu Haji amechaguliwa kuwa naibu katibu mkuu BAWACHA (Zanzibar) ambaye alikuwa mgombea pekee kwa kupata kura 60 za ndiyo na tano za hapana.
Huyu ni miongoni mwa safu mpya waliochanguliwa kuongoza Bawacha taifa kama unavyowaona pichani !

1621371711525.png
 
Back
Top Bottom