Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,854
Ninavyoelewa ni kuwa hivyo vyeo sio vya uteuzi. Mkutano Mkuu ukiitwa, watakaokua wanakaimu wakati huo wanaweza kusimama kuomba wachaguliwe ili katika nafasi hizo au nyingine (k.m. kaimu Mwenyekiti anaweza kugombea u Naibu Mwenyekiti). Aidha wanaweza kuamua kutoziomba hizo nafasi na kuwaachia wengine kuzigombania. Ingawa kinadharia wanaweza kuzipoteza hizo nafasi, uwezekano mkubwa ni wao kushinda na hivyo kuthibitishwa katika hizo nafasi. Wakishindwa watabakia kwenye vyeo walivyokuwa navyo awali. Ila kama hawataridhika na jinsi uchaguzi ulivyofanyika watakuwa na uhuru wa kujitoa kwenye chama kama alivyofanya Sumaye.Unachosema ni kwamba Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti huwa wanateuliwa na kuthibitishwa na Mkutano Mkuu? If yes, hao “wateuliwa” wanaweza kuwa watu tofauti na hawa makaimu waliochaguliwa? Kama ni watu tofauti, hawa makaimu hatma yao huwa inakuwaje?
Bora kuwasaidia watu kuliko wale wengine wanaojibu kwa jazba na kashfa
Nahisi Mkutano Mkuu uko karibuni ili kusikiliza rufaa za waliokuwa kwenye nafasi hiyo pamoja na mambo mengine. Labda mara baada ya rufaa watachagua watu wa kujaza hizi nafasi.
Amandla....