Uchaguzi BAWACHA: Majina ya waliorejesha fomu za kugombea uongozi haya hapa

Vyeo:
KAIMU Mwenyekiti na KAIMU MAKAMU Mwenyekiti. Then Katibu Mkuu na NAIBU Katibu Mkuu

Na hii ni kwa mujibu wa Katiba ya Chama
Wanamlia timing Mbowe hapo, hujashtuka tu mkuu! Naona akili zimeaanza kuwarudia taratibu taratibu.
 
Tupeni Hawa:
1. Kaimu Mwenyekiti-Susan Kiwanga
2. Kaimu Makamu Mwenyekiti-Siwajui Wote Walioomba
3. Katibu Mkuu-Catherine Ruge
4. Naibu Katibu Mkuu-Siwajui Wote Walioomba
5. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar-Simjui Vizuri Japo Yupo Mmoja
6. Mwenezi Bawacha-Husna Amri Said (hili si ndio jembe lililovuruga chato? Au siyo? Kama ni yeye ni kifaa kweli)
 
TUPENI HAWA:
1. KAIMU MWENYEKITI-SUSAN KIWANGA
2. KAIMU MAKAMU MWENYEKITI-SIWAJUI WOTE WALIOOMBA
3. KATIBU MKUU-CATHERINE RUGE
4. NAIBU KATIBU MKUU-SIWAJUI WOTE WALIOOMBA
5. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR-SIMJUI VIZURI JAPO YUPO MMOJA
6. MWENEZI BAWACHA-HUSNA AMRI SAID (HILI SI NDIO JEMBE LILILOVURUGA CHATO? AU SIYO? KAMA NI YEYE NI KIFAA KWELI)
Umesikika
 
swali la kijinga sana !
Mkuu kubali tu kuwa huna majibu ila nafasi ya kukaimu huwa mtu anakuwa appointed kwa muda flani hatutegemei mtu agombee kukaimu nafasi kwani huwa mtu anapokaimu inakua ni kusubiria mtu aje kuishika hiyo nafasi kwa kulingana na taratibu husika.
 
Ninavyo elewa ni kuwa kuna nafasi ambazo Bawacha wana mamlaka ya kujaza wenyewe ( Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi n.k.) na zile ambazo zinajazwa kupitia Mkutano Mkuu wa Chadema ( Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti). Ingekuwa kuna Naibu Mwenyekiti mmoja, huyo angeweza kukaimishwa uenyekiti hadi pale wa kudumu atakapopatikana. Hii ni ngumu kwa mfumo ambao kuna wawili wenye status sawa maana akikaimishwa mmoja itaonekana yeye ni senior kwa mwingine. Aidha, kama naibu Mwenyekiti aliyekuwepo hana mpango na Uenyekiti wa Taifa inakuwa ngumu kumkaimisha nafasi hiyo halafu nafasi anayoipenda akakaimishwa mwingine.

Mpango huu wa Bawacha ni mzuri kwa sababu watapata viongozi ambao wanaridhaa ya wanawake wenzao. Na wanachama wenzao wataweza kuwapima kabla ya Mkutano Mkuu wa Chadema.

Amandla...
 
Mkuu kubali tu kuwa huna majibu ila nafasi ya kukaimu huwa mtu anakuwa appointed kwa muda flani hatutegemei mtu agombee kukaimu nafasi kwani huwa mtu anapokaimu inakua ni kusubiria mtu aje kuishika hiyo nafasi kwa kulingana na taratibu husika
Ulitakiwa kujiuliza kwanza kwa nini ni nafasi mbili tu ambazo watu wanagombea kukaimu? Na nani ana mamlaka ya kujaza nafasi hizi. Kwa maneno mengine, uchaguzi wa nafasi hizi unafanyika katika ngazi ipi?

Amandla...
 
Yaani kama Mbowe yuko Dubai kwa sasa Salumu Mwalimu ndio kaimu mwenyekiti wa Chadema haiitajiki uchaguzi katika hilo!
Mbowe asipokuwepo kwa muda mfupi ana haki ya kumkaimisha yeyote katika manaibu wake nafasi ya uenyekiti. Ila kama atatoka kwenye nafasi hiyo kabisa ( kujiuzuru, kufukuzwa kwenye chama n.k.) basi bila shaka patakuwa na utaratibu tofauti.

Katiba ya ACT Wazalendo inasema nafasi hiyo itashikwa na Naibu anaetoka upande mwingine wa Muungano tofauti na ule wa Mwenyekiti. Marehemu Mwenyekiti wao alitoka Zanzibar kwa hiyo anaekaimu ni Naibu Mwenyekiti kutoka Bara. Sio lazima Chadeåma wawe na utaratibu kama huo.

Amandla...
 
Kwa sakata hili la kumpakazia kifo Rais wa Jamhuri ya Tanzania aaah!! kwa kweli sidhani kama kuna mtanazania hata mmoja atawasilikiza na kuwaamini tena, mmejiaribia sana tena sanaa..Nilikipenda sana Chadema lakini kwa sasa nakichukia mnooo.Mmekuwa sio Chama cha siasa bali wahaini sasa na watu wa kuchekelea na kufurahia matatizo anayopitia Rais wa Nchi yenu pendwa,lakini kwa uroho wenu wa Madaraka mpo tayari kuivuruga na kuwapa Wananchi taharuki za ajabu ajabu, uzushi wa ajabu ajabu..Hamna la maana lolote mnalojua zaidi ya mafumbo mafumbo tuu ya uzushi.Na hapa ndio naamini kweli wananchi waliwakataa kwenye sanduku la kura kihalali kabisaaaaaaaaaaaa, na wataendelea kuwakataa mpaka hapo mtakapojua kwamba kelele zenu na uzushi wenu mnaomzushia Rais unawalenga watu tofauti pia sio huyo Rais tuu hata kama mna chuki nae,..Mmebakia kuwa genge la wahuni wa mitandao tuu ,CHADEMA ilishakufa pale Dr Slaa walivyoondoka.. kilichobakia uhuni uhuni tuu mitandaoni.
RAIS wetu Yuko wapi?
Watanzania wanataka kumuona sio blabla Tena.CHADEMA kupitia katibu mkuu aliiomba wahusika kutuabalisha.weww ndio umeandika kuhusu kifo.
Kauli yao viongozi wakuu iwe moja
 
Mkuu kubali tu kuwa huna majibu ila nafasi ya kukaimu huwa mtu anakuwa appointed kwa muda flani hatutegemei mtu agombee kukaimu nafasi kwani huwa mtu anapokaimu inakua ni kusubiria mtu aje kuishika hiyo nafasi kwa kulingana na taratibu husika.
HAKUNA chama hapo hata wao hawaelewi wanafanya Nini ndo maana wanakuwa wakali wakiulizwa kuhusu huko kukaimu Maana hawana majibu.
 
Ninavyo elewa ni kuwa kuna nafasi ambazo Bawacha wana mamlaka ya kujaza wenyewe ( Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi n.k.) na zile ambazo zinajazwa kupitia Mkutano Mkuu wa Chadema ( Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti).
Unachosema ni kwamba Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti huwa wanateuliwa na kuthibitishwa na Mkutano Mkuu? If yes, hao “wateuliwa” wanaweza kuwa watu tofauti na hawa makaimu waliochaguliwa? Kama ni watu tofauti, hawa makaimu hatma yao huwa inakuwaje?

Bora kuwasaidia watu kuliko wale wengine wanaojibu kwa jazba na kashfa
 
Ninavyo elewa ni kuwa kuna nafasi ambazo Bawacha wana mamlaka ya kujaza wenyewe ( Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi n.k.) na zile ambazo zinajazwa kupitia Mkutano Mkuu wa Chadema ( Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti). Ingekuwa kuna Naibu Mwenyekiti mmoja, huyo angeweza kukaimishwa uenyekiti hadi pale wa kudumu atakapopatikana. Hii ni ngumu kwa mfumo ambao kuna wawili wenye status sawa maana akikaimishwa mmoja itaonekana yeye ni senior kwa mwingine. Aidha, kama naibu Mwenyekiti aliyekuwepo hana mpango na Uenyekiti wa Taifa inakuwa ngumu kumkaimisha nafasi hiyo halafu nafasi anayoipenda akakaimishwa mwingine.

Mpango huu wa Bawacha ni mzuri kwa sababu watapata viongozi ambao wanaridhaa ya wanawake wenzao. Na wanachama wenzao wataweza kuwapima kabla ya Mkutano Mkuu wa Chadema.

Amandla...
Huo mkutano mkuu wa Chadema wanaume wanahudhuria?

Yaani mwenyekiti wa Bawacha anachaguliwa na mkutano mkuu wa Chadema badala ya mkutano mkuu wa Bawacha?

Huu ni mfumo dume uliopitiliza!
 
Kwa sakata hili la kumpakazia kifo Rais wa Jamhuri ya Tanzania aaah!! kwa kweli sidhani kama kuna mtanazania hata mmoja atawasilikiza na kuwaamini tena, mmejiaribia sana tena sanaa..Nilikipenda sana Chadema lakini kwa sasa nakichukia mnooo.Mmekuwa sio Chama cha siasa bali wahaini sasa na watu wa kuchekelea na kufurahia matatizo anayopitia Rais wa Nchi yenu pendwa,lakini kwa uroho wenu wa Madaraka mpo tayari kuivuruga na kuwapa Wananchi taharuki za ajabu ajabu, uzushi wa ajabu ajabu..Hamna la maana lolote mnalojua zaidi ya mafumbo mafumbo tuu ya uzushi.Na hapa ndio naamini kweli wananchi waliwakataa kwenye sanduku la kura kihalali kabisaaaaaaaaaaaa, na wataendelea kuwakataa mpaka hapo mtakapojua kwamba kelele zenu na uzushi wenu mnaomzushia Rais unawalenga watu tofauti pia sio huyo Rais tuu hata kama mna chuki nae,..Mmebakia kuwa genge la wahuni wa mitandao tuu ,CHADEMA ilishakufa pale Dr Slaa walivyoondoka.. kilichobakia uhuni uhuni tuu mitandaoni.
Wewe NI hewa kabisaaa..,Sasa kuuliza alipo ndio kumpakazia kifo?hicho kichwa kimejaa gesi taka
 
sasa huyo mtu huwa wapi wakati nafasi yake inakaimiwa ?
Anapokuwa hawezi kufanya shughuli zake za kawaida kwa muda huo. Mifano ni lukuki kama likizo, kuumwa, masomoni n.k. Hiyo ni ile ya kuwa baadae anarejea. Na pia kuna hiyo ya kutoka/kutolewa kabla ya kupatikana mshika nafasi, mfano kifo, kufungwa jela, kufukuzwa n.k.
 
Back
Top Bottom