UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

Vijana Bavicha mko.vizuri kuliko.li chadema lenyewe.Bavicha mna sura ya kitaifa.Mwenyekiti katoka Tanzania Bara na makamu katoka Zanzibar.

Lichama lenyewe linazidwa akili na vitoto vya Bavicha sababu chadema wagombea uenyekiti wanatoka Tanzania Bara na Makamu mwenyekiti Ni Tundu Lisu toka Tanzania Bara hopeless kabisa.

Lichama pumbafu linazidwa akili na vitoto vya Bavicha

Hongereni na pongezi kwenu viongozi wote wa Bavicha mlioshinda
 
Namtakia kila la heri kijana Pambalu. Nafahamu Ni mpambanaji, ninachoomba sana kwake na kwa wote watakaoaminiwa kupata nafasi za uongozi ndani ya Chadema wajiapize mioyoni mwao kutotumia nafasi zao kujinufaisha kwa njia za kisaliti kama akina Katambi.
Wafahamu kuwa kuinufaisha CCM ili itimize azma yake ya kuangamiza Chadema na upinzani kwa ujumla ni dhambi kubwa dhidi ya Watanzania na wapenda demokrasia duniani kote. Usaliti na wasaliti kwa majina yao huwa hawafi!!!!
 
He is 45.
Cha ajabu Nini Halima Mdee msichana mdogo Hana mume Wala mtoto lakini ndie mwenyekiti wa wanawake wa Chadema Taifa.
Chadema hata mtoto mchanga aweza chaguliwa mwenyekiti wa Baraza la wazee wa chadema
 
Chadema kimepata Jabali.Ndivyo tunavyowezs kusema baada ya John Pambalu Diwani wa Kata ya Butimba Mwanza kuzoa kura na kuwa Mwenyekiti mpya Bavicha akirithi mikoba ya Pateick Ole Sosopi.

Pambalu Msukuma kutoka Kanda ya ziwa mkoani Mwanza ni mpiganaji aliyekulia vyema kwenye mikono ya Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama hicho Taifa.
 
Nilishamshauri sana huyu binti ,ubishi tu

Nasubiria kwa hamu sana Matokeo yake kwa Nafasi anayoigombea. Ni Mfia Chama ( CHADEMA ) sana na asiposhinda leo ataathirika mno Kisaikolojia. Mwenyezi Mungu amsaidie ashinde huyu Binti Hilda Newton japo najua anaweza kufanyiwa ' Mtima Nyongo / Figisu Figisu ' na akaanguka vibaya kwani kama kuna mahala ' Umafia ' unafanyika wazi wazi hasa wakati wa Chaguzi basi ni huko CHADEMA na ukibisha hili mtafute Mzee Sumaye akupe ' Ushuhuda ' wake uliotukuka kiasi kwamba hadi hivi leo hana hamu tena na CHADEMA.
 
Cha ajabu Nini Halima Mdee msichana mdogo Hana mume Wala mtoto lakini ndie mwenyekiti wa wanawake wa Chadema Taifa.
Chadema hata mtoto mchanga aweza chaguliwa mwenyekiti wa Baraza la wazee wa chadema
Sina hakika kama ana mtoto au hana, lakini mume anaye.
 
Back
Top Bottom