UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

Ok asiwe mkorofi kama Vijana wa Bavicha atafeli
Mwanza kasoma pamba sekondary advance kasoma ihungo sec bukoba
Binafsi namfahamu tangu akiwa mtoto ni kijana mcha Mungu anayeipenda siasa tangu akiwa mtoto
 
JOHN PAMBALU
Amezaliwa October 17 mwaka 1990, umri wake ni miaka 29. Ana Shahada ya Ualimu, kutoka Chuo Kikuu cha Mt.Augustino (SAUT) Mwanza.

Uzoefu wake katika siasa; Ni diwani wa kata ya Butimba, jijini Mwanza, na mjumbe wa Kamati ya huduma za jamii katika halmashauri ya jiji hilo. Alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA taifa mwaka 2018 baada ya aliyekua Mwenyekiti wa baraza hilo Patrobas Katambi kutimkia CCM na hivyo Makamu mwenyekiti Patrick Sosopi kuchukua mikoba yake. Nje ya siasa, Pambalu ni mwalimu na mjasiriamali.
Tunaomba wasifu wa Mwenyekiti wa BAVICHA kama huto jali
 
Hapana sio kwamba anapambwa mimi namfahamu vizuri tangu utotoni akiwa mwanafunzi ni kijana anayeipenda sana dini yake ya ukatoliki na siasa kwake iko damuni habahatishi

Namfahamu huyo dogo kupitia Star TV, Ni mkakamavu, mjenga hoja n
Mzuri japo ana jazba za haraka na ni mrahisi kutoka kwenye njia akipandwa na jazba. Kitu ambacho sina shaka naye ni mapenzi yake mazito kwa cdm. Nadhani ni ngumu kuhongwa kwenda kuunga juhudi, maana sasa hivi hiyo ndio fashion.
 
Hapana sio kwamba ana jazba sema akianza kuongea huwa sauti inaongezeka kadri anavyoendelea
 
Hapana sio kwamba anapambwa mimi namfahamu vizuri tangu utotoni akiwa mwanafunzi ni kijana anayeipenda sana dini yake ya ukatoliki na siasa kwake iko damuni habahatishi
Unamuwekea dhamana mwanasiasa?
 
Back
Top Bottom