Uchaguzi: Amani au haki kwanza?

"Peace cannot be kept by force; it can only be achieved by understanding." Amani kamwe haiwezi kulindwa/kutunzwa kwa kutumia nguvu,bali inaweza kulindwa kwa maelewano!!
― Albert Einstein
 
Amani kwanza na ndio sababu maelfu ya watu wanapata uhakika wa kuhudhuria mikutano ya kampeni cheki hapa,

Dr Magufuli anavyokubalika kutokana na uwepo wa amani




Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Karangalala tayari kuhutubia wakazi wa Geita mjini.​

Umati ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala,Geita mjini.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Geita mjini kwenye uwanja wa Karangalala ambapo aliwaeleza wakazi wa mji huo kuwa atahakikisha viwanda vinajengwa , wacimbaji wadogo wadogo wanapata maeneo ya kuchimba, ataboresha maslahi ya wafanyakazi , kuhakikisha madawa na huduma za afya zinakuwa bora zaidi na elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne.
 
Mwana Falsafa mmoja alisema kuwa amani ni tunda linalozaliwa na mti uitwao haki. Kama hakuna mti hakuna tunda. Tunda laweza kuwa zima na zuri ama laweza kuwa na ganda juu zuri lakini ndani limeoza au laweza kuwa tunda la plastiki. Lafanana na tunda halisi kumbe ni feki! Wanaotaka tunda la amani wanataka kipi katika hayo? Bila haki twaweza kuwa na tunda feki au lililooza!
 
Back
Top Bottom