Uchaguzi 2022 ndani ya CCM unapaswa kuonyesha nguvu ya chama na dola

WWa

Watanzania nawajua vizuri saaaana! Ni wale watazajana kwenye mikutano ya CHADEMA kusikiliza comedy za akina Mbowe na Lissu Ila siku ya uchaguzi kura wanaipigia CCM!
Nyie mnabaki na nyimbo za nyomi! nyomi! ila kwenye ballot box hakuna kura!
Weka akilini kwako wewe na wenzako wote.

Mimi sio CCM or Chadema, ni MTANZANIA.

Sisi ni Watanzania. Tunataka maisha, kipato kizuri, watoto wasome, tulipe bills zetu, maslahi yetu yalindwe. Tunataka ustawi wa Tanzania, serikali na watu wake wote.

Nchi isiuzwe, kubinafsishwa kwa familia yako na walio karibu yako. Wahuni wachache.
 
Salaam!
Kuna post nyingi na kelele nyingi na kampeni nyingi za uongo kumhusu mama mitandaoni na mitaani!
Nyingi zinaendeshwa na wana CCM kindakindaki tena wengi wenye vyeo.
Unajaribu kujiuliza, kulikoni?
Kutoka kwenye, 'atake asitake tutamuongezea muda' mpaka kwenye kashfa na kejeli hizi chafu tena za uongo!!!
Jibu linakuja, 'Magufulism/ umagufuli'

Mwenda zake, nimseme kidogo japo sio kwa ubaya sanaaa maana kikwetu sio vizuri kumsema marehemu...
Mwendazake alitengeneza mapomondo ndani ya CCM... kama tu yale yanayozungukaga mtaani, 'tunauza sumu ya kunguni, utitiri, chawa, papasi, viroboto na vyombo vipo' ... Likimaliza linaanza tena... na tena ..na tena hadi betri iishe.
Watu waliazimisha akili zao, wakasifu na kuabudu na kishangilia bila kufikiri..

Sasa kibao kimegeuka kidogo, mama anataka watu wenye kufikiri na kuwajibika katika uongozi wake na hana mpango wa kusifiwa au kuabudiwa...yale mapomondo yameduwaa, hayajui yaanzie wapi..
Kidogokidogo yakaanza...'hatuchanji'...Mchungaji huyo mwenye ruti za Ulaya na Marekani kila wakati anadanganya waumini na taifa kwa ujumla ili hali anajua bila cheti cha chanjo kule haingii...
Mwingine akaanza shule ya uongozi... ambayo hajawahi kuiishi wala kuijaribu pindi alipopewa madaraka.

Watu wanamkejeli mama mpaka unadhani hawa wamesahau kama wanamkejeli rais wa nchi na mwenyekiti wa chama?
Anyway, dawa ni kumalizana nao 2022 katika uchaguzi ndani ya chama ili kuwakumbusha kiongozi ni nani!!

Wewe mpuuzi na wenzako wote hapa angalia post zinatomtukana JPM aliyoiweka serikali hii madarakani.

Upumbavu wenu ni kutojua bila yeye msingekuwepo serikalini, msingechagulika, kuaminika.

Alikosea kuwaamini.
 
Back
Top Bottom