Uchaguzi 2020 unaweza kuwa na mvuto zaidi ya ule wa 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi 2020 unaweza kuwa na mvuto zaidi ya ule wa 2015?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sijuti, Apr 15, 2018.

 1. Sijuti

  Sijuti JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2018
  Joined: Oct 20, 2014
  Messages: 2,353
  Likes Received: 1,730
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi mkuu wa 2015 ulivunja rekodi ya chaguzi zote bara na visiwani, katika uchaguzi huo watu wengi walikuwa wakijitokeza ktk kampeni na walishiriki ktk upigaji kura tena vijana wengi walidamka asubuhi na mapema kuwahi kupiga kura na walifuatilia mwenendo wa uchaguzi kwa karibu sana.
  Unadhani 2020 mambo yatakuwa moto zaidi au hautakuwa na mvuto?
   
 2. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2018
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 7,563
  Likes Received: 5,474
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi ujao watu watapigia kura kwenye mitandao ya jamii.
   
 3. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #3
  Apr 15, 2018
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 8,704
  Likes Received: 8,439
  Trophy Points: 280
  Kwa staili hii ya kuweka makada wa CCM kwenye Tume ya uchaguzi, uchaguzi mkuu wa 2020 ni sawa na kuuita uchaguzi wa chama kimoja na tutegemee CCM wapate ushindi wa landslide victory wa zaidi ya 98%
   
 4. Simple F

  Simple F JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2018
  Joined: Nov 17, 2016
  Messages: 813
  Likes Received: 772
  Trophy Points: 180
  Hali ya siasa isipobadilika hasa kuhofia kwamba matokeo yanapangwa kabla ya kupiga kura basi tegemea hakutakuwa na msisimko kabisa
   
 5. m

  masoud mshahara Member

  #5
  Apr 15, 2018
  Joined: Mar 31, 2018
  Messages: 61
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 15
  Acha kupoteza muda 2020 mambo yashaeleweka
   
 6. U

  Undu JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2018
  Joined: May 18, 2013
  Messages: 1,813
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mbona mimi nimekata tamaa.Ninachosubiri CCM iwe kama Mugabe nitaamini
   
 7. L

  Lumwagoz JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2018
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 753
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 180
  Ningekua mshauri wa upinzani ningewashaur kwa katiba na tume iliyopo na serikal iliyopo sasa wasipoteze pesa Yao na muda kushiriki.
   
Loading...