Uchaguzi 2020 kwa Urais CCM hawatatumia nguvu kubwa

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,536
2,187
Labda kama hauna macho kwa yanayofanyika. Kiukweli hawatatumia nguvu nyingi kwenye kampeini, kwa mfano

1. Vituo vya afya vinaota kama uyoga

2. Barabara kama wanatandika mikeka tu kila kukicha

3. Reli ndio siongei

4. Ndege....

5. Viwanja vya ndege

6. Mabadiliko ya ccm

7. Mahospitali ya Wilaya.

8. Bei za mazao zinaboreshwa eg Korosho na pamba

9. Viwanda vya kutosha vipya vinajengwa kila siku

Yaani vitu ni vingi mpaka naweza jaza ukurasa mzima hapa.

Ushindi kwa CCM ni asubuhi hakuna cha kampeini labda kwa wabunge kidooogo watapata upinzani, maana wengi wanakaa kimya tu bungeni na wengine hawajielewi.

Ni hayo tu kwa 2020

Povu ruksa
 
Sawa kabisa.Lakini kama hayo yote yanafanyika Uoga wa nini kuzuia kila kinachoweza kuwapaisha Washindani wenu?

Adavantage ya CCM ni

1.Tume ya Uchaguzi
2.Polis
3.Watz wengi si waelewa na hasa ikichagizwa na habari nyingi wanazopata kuegemea upande m1.

Fullstop
 
Bila evidences za unachokizungumza huu uzi ni takataka.......kuhusu vitu Kama ndege hapo sahau....ni utapeli na kiini macho kwa mburura wa mfano wako
 
Labda kama hauna macho kwa yanayofanyika. Kiukweli hawatatumia nguvu nyingi kwenye kampeini, kwa mfano

1. Vituo vya afya vinaota kama uyoga

2. Barabara kama wanatandika mikeka tu kila kukicha

3. Reli ndio siongei

4. Ndege....

5. Viwanja vya ndege

6. Mabadiliko ya ccm

7. Mahospitali ya Wilaya.

8. Bei za mazao zinaboreshwa eg Korosho na pamba

9. Viwanda vya kutosha vipya vinajengwa kila siku

Yaani vitu ni vingi mpaka naweza jaza ukurasa mzima hapa.

Ushindi kwa CCM ni asubuhi hakuna cha kampeini labda kwa wabunge kidooogo watapata upinzani, maana wengi wanakaa kimya tu bungeni na wengine hawajielewi.

Ni hayo tu kwa 2020

Povu ruksa
Hata wewe? Hebu soma hii
Screenshot_20180530-175631.jpg
 
Sawa kabisa.Lakini kama hayo yote yanafanyika Uoga wa nini kuzuia kila kinachoweza kuwapaisha Washindani wenu?

Adavantage ya CCM ni

1.Tume ya Uchaguzi
2.Polis
3.Watz wengi si waelewa na hasa ikichagizwa na habari nyingi wanazopata kuegemea upande m1.

Fullstop

Unahisi police hakuna upinzani au tume ya uchaguzi hakuna wapinzani?
 
CCM watatumiaje Nguvu wakati wana PoliceCcm na wakurugenzi hao tu wanatosha kufanya yote watakayo mkitaka yaonekane hayo yote mnayosema wekeni KATIBA mpya Mezani tena ile ya warioba.

Nyie si ndio mliikataa hiyo katiba, tena mkasusa na kutoka bungeni
 
Labda kama hauna macho kwa yanayofanyika. Kiukweli hawatatumia nguvu nyingi kwenye kampeini, kwa mfano

1. Vituo vya afya vinaota kama uyoga

2. Barabara kama wanatandika mikeka tu kila kukicha

3. Reli ndio siongei

4. Ndege....

5. Viwanja vya ndege

6. Mabadiliko ya ccm

7. Mahospitali ya Wilaya.

8. Bei za mazao zinaboreshwa eg Korosho na pamba

9. Viwanda vya kutosha vipya vinajengwa kila siku

Yaani vitu ni vingi mpaka naweza jaza ukurasa mzima hapa.

Ushindi kwa CCM ni asubuhi hakuna cha kampeini labda kwa wabunge kidooogo watapata upinzani, maana wengi wanakaa kimya tu bungeni na wengine hawajielewi.

Ni hayo tu kwa 2020

Povu ruksa
Acha ujinga weye!Wananchi wana uwezo wa kupata milo mitatu? Hilo ndiyo muhimu kwanza. Hayo mengine mbwembwe tu.
 
Huku afrika kuna uchaguzi na wewe?huku si kuna kuteuana.Tanzania kuna tume ya uchaguzi????si kuna kikundi cha kuteua watu wakae madarakani.Shithole Tz
 
Sawa kabisa.Lakini kama hayo yote yanafanyika Uoga wa nini kuzuia kila kinachoweza kuwapaisha Washindani wenu?

Adavantage ya CCM ni

1.Tume ya Uchaguzi
2.Polis
3.Watz wengi si waelewa na hasa ikichagizwa na habari nyingi wanazopata kuegemea upande m1.

Fullstop
Uoga ni wenu (inferiority Complex)
 
Huku afrika kuna uchaguzi na wewe?huku si kuna kuteuana.Tanzania kuna tume ya uchaguzi????si kuna kikundi cha kuteua watu wakae madarakani.Shithole Tz
Mnalilia ujinga tu , mawakala mnaowawekaga huwa ni wa nini?
 
Huu ujinga ujinga ndio utamfanya mtu kubadilisha katiba na kujiongezea miaka kama kagame
 
Acha ujinga weye!Wananchi wana uwezo wa kupata milo mitatu? Hilo ndiyo muhimu kwanza. Hayo mengine mbwembwe tu.
Labda kama hujalima, ila sisi tuliolima tunapata milo 3 na kingine tunauza,

Nikushauli tu, mimi sio mjinga na sijawai kukutukana
 
Back
Top Bottom