kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,301
- 12,600
CCM haiwezi kuinua Michezo nchini Kama itaendelea na sera yake ya kuvishikilia viwanja vya Michezo nchini na bila kuvifanyia matengenezo makubwa.
Inasikitisha Sana wadau wa Michezo kuhusu hili kwasababu Michezo haina chama.
Viwanja vinachangia timu zetu kuwa kichwa Cha mwendawazimu.
Wapenda Michezo tutahoji swala hili ili tuone linavyokinzana na manifesto ya CCM kwenye Michezo.