Uchaguzi 2020: Ilani ya CCM inasema nini kuhusu kurejesha viwanja serikalini/TFF?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,347
2,000
CCM haiwezi kuinua Michezo nchini Kama itaendelea na sera yake ya kuvishikilia viwanja vya Michezo nchini na bila kuvifanyia matengenezo makubwa.

Inasikitisha Sana wadau wa Michezo kuhusu hili kwasababu Michezo haina chama.

Viwanja vinachangia timu zetu kuwa kichwa Cha mwendawazimu.

Wapenda Michezo tutahoji swala hili ili tuone linavyokinzana na manifesto ya CCM kwenye Michezo.
 

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,347
2,000
Mi nmeandika sana kuhusu hili. Ila kwa CCM hii kitu ni ngumu sawa na mwanaume kubadilisha jinsia yake kuwa ya kike. Ngumu sana mkuu!
Lazima watamke kitu kwetu sisi wanamichezo this time round. Viwanja wapewe BMT ili vitunzwe kimichezomichezo. Michezo Ni mikubwa kuliko CCM. CCM hasa JPM Ni msikivu hatashindwa kuliamulia hili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom