Uchaguzi 2020: CCM kuwakata Wakwepa kodi, wapiga dili na wenye harufu ya ufisadi.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,833
Nimejuzwa kuwa chekeche la kamati kuu ya CCM baada ya kura za maoni litakuwa si la kitoto.
Wagombea watapaswa kupata hati za utakaso kutoka mamlaka za kodi na taasisi zinazozuia rushwa na uhalifu.

Lengo la umakini huu wa CCM ni kupeleka bungeni watu makini, wazalendo na wasio na chembe ya hila.

Bunge letu ni tukufu hivyo tunatazamia 2020 bunge likaakisi utukufu wake kwa aina ya wabunge tutakaowapeleka, wakwepa kodi, majambazi, wezi, wapiga dili na wala rushwa hawana nafasi kabisa labda wakapitie vyama vya upinzani amemalizia kunieleza mzee Mwilima.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yule mwenye makanisa na mahotel pale barabarani watamkata?
 
Hakuna cha chekecheke wala nini, bali hilo ni chekecheke la kuhakikisha wabunge watakaopatikana ni wale wanaomtukuza mkulu na kuhakikisha ajenda ya kumuongezea muda wa kukaa madarakani inapita. Kama mwenyekiti wa chama sio muadilifu atasimamiaje kupatikana kwa watu waadilifu? Uchaguzi wenyewe sio wa haki hapo utasemaje inapeleka watu waadilifu bungeni? Lengo hasa ni kupata wabunge wa kumuongezea jiwe muda wa kukaa madarakani fullstop.
 
Ninacho kushukuru umemchangia mdogo wangu Mello.
 
Hakuna cha chekecheke wala nini, bali hilo ni chekecheke la kuhakikisha wabunge watakaopatikana ni wale wanaomtukuza mkulu na kuhakikisha ajenda ya kumuongezea muda wa kukaa madarakani inapita. Kama mwenyekiti wa chama sio muadilifu atasimamiaje kupatikana kwa watu waadilifu? Uchaguzi wenyewe sio wa haki hapo utasemaje inapeleka watu waadilifu bungeni? Lengo hasa ni kupata wabunge wa kumuongezea jiwe muda wa kukaa madarakani fullstop.
Utaratibu wa kumuongezea Rais muda wa kukaa madarakani siyo sawa na ule wa kumuongezea muda Mwenyekiti wa Chadema!
 
Akili zilizo uchi ni hatari. Hivi uongozi wa CDM na nchi vina uhusiano gani? Ukishailisha akili taka, kila unachofikiria ni taka taka taka
Mbwiga punguza mwendo nyegezi niliyemjibu amenielewa vizuri, yawezekana wewe ni mgeni!
 
CCM ni dhulumati katili ma wauwaji. Hakuna uchaguzi huru ni mauwaji na polisi luiba mabox ya kura.
Kamanajiamini weka tume huru ya uchaguzi ma polisi wasipige watu marisasi tuone jeuri yenu@!
 
Akili zilizo uchi ni hatari. Hivi uongozi wa CDM na nchi vina uhusiano gani? Ukishailisha akili taka, kila unachofikiria ni taka taka taka
Ndo maana akakwambia utaratibu wa kumuongezea rais muda ni tofauti na ule wa kumuongezea m/kiti wa chadema.
 
Nimejuzwa kuwa chekeche la kamati kuu ya CCM baada ya kura za maoni litakuwa si la kitoto.
Wagombea watapaswa kupata hati za utakaso kutoka mamlaka za kodi na taasisi zinazozuia rushwa na uhalifu.

Lengo la umakini huu wa CCM ni kupeleka bungeni watu makini, wazalendo na wasio na chembe ya hila.

Bunge letu ni tukufu hivyo tunatazamia 2020 bunge likaakisi utukufu wake kwa aina ya wabunge tutakaowapeleka, wakwepa kodi, majambazi, wezi, wapiga dili na wala rushwa hawana nafasi kabisa labda wakapitie vyama vya upinzani amemalizia kunieleza mzee Mwilima.

Maendeleo hayana vyama!
Watanzania hakuna msafi hata kidogo kwanza ccm itawajuaje hao wasafi ?Tume ya Maadili tu ya Viongozi inadanganywa kuhusu mali za Viongozi
 
CCM ni dhulumati katili ma wauwaji. Hakuna uchaguzi huru ni mauwaji na polisi luiba mabox ya kura.
Kamanajiamini weka tume huru ya uchaguzi ma polisi wasipige watu marisasi tuone jeuri yenu@!
Akikusikia mchungaji Msigwa atakushangaa sana!
 
Back
Top Bottom