Uchaguzi 2015 ni Mchuano Kati ya Mlima Kilimanjaro na Kichuguu?

Status
Not open for further replies.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Rais Ben Mkapa huwaita "hawa wote kokoto tu". (namsamehe kwa kuwa alikuwa amekula Valuu).

Lakini kama CCM watasimamisha mgombea Mkristo 2015, isitarajie kushinda maana Waislamu kupitia nyumba zao za ibada walishasema kupitia waraka wao (niliusoma hapa hapa jamvini) kuwa 2010 kura kwa Dr.Dr.Dr.Dr. Kikwete, 2015 kura kwa Prof. Lipumba.

Kuthibitisha hilo,fikiria matokeo ya kura za vituo jimboni kwa mh. Zitto Kabwe: Urais alikuwa akiongoza JK, Ubunge Zitto Kabwe. Sipigi majungu. Nilikuwa nafuatilia vizuri sana wakati wa kusoma matokeo ya kura za vituo, japo si kwa majimbo yote, lakini Kigoma Kaskazini nilisikia hali ilivyokuwa.

So 2015 ni mpambano kati ya Dr. Slaa (kichuguu) na Prof. Lipumba (Mt. Kilimamnjaro)?

Atakeyeona hii ni crap apotezee. Mods kama vipi mkiona nina-provoke udini ban me.

Nanyamke kaya!!!
 
Duh mkuu hizo ni jazba kutokana na madudu ya Mkwere na crew yake or ni valuu? punguza jazba mkuu, we stil nids yo maoni hapa..)))
 
Non-sense... Kuhusu Kigoma Kaskazini sio kwamba Slaa hakubaliki mbona Bukoba Slaa kashinda dhidi ya JK lakini lwakatare(Mkristo) kapitwa na Balozi Kagesheki(Muislamu).. Fanya uchunguzi kwanza ndo uje na upuuuuuzi wako hapa... Au tuseme umekula kungu asubuhi jioni unaleta hesabu???!! Kuwa mstaarabu basi... Kumbuka Zitto kapata kura 23000 dhidi ya mwenzake 18000 tofauti na 2005 kuonyesha nae kashuka thamani saaana... Pia sio kila jimbo waliloshinda CHADEMA ubunge na uraisi wameshinda kwa mfano Ubungo?? maswa kule?? Chunguza kwanza kura za Slaa ziliibwa zaidi kuliko walivyohangaika kuiba za wabunge... Ndio maana idadi ya wapiga kura wa ubunge ilikuwa imetofauti na uraisi kwa vituo zaidi ya 85%.

Kuhusu CUF, hivi kumbe watamsimamisha tena Lipumba?? Marakumi awe Mtatiro aweza fika hata 8%... Lipumba hana jipya ataangamiza chama tuu yule... Daaaah!! watu bwana kwa kulazimisha mambo khaaaah!!!
 
CUF kwa bara sijui Kama wana mgombea nadhani hata zanzibar mfalme Seifu ngumu kumwambia aachie kiti kile kwanza nani atathubutu?
 
Non-sense... Kuhusu Kigoma Kaskazini sio kwamba Slaa hakubaliki mbona Bukoba Slaa kashinda dhidi ya JK lakini lwakatare(Mkristo) kapitwa na Balozi Kagesheki(Muislamu).. Fanya uchunguzi kwanza ndo uje na upuuuuuzi wako hapa... Au tuseme umekula kungu asubuhi jioni unaleta hesabu???!! Kuwa mstaarabu basi... Kumbuka Zitto kapata kura 23000 dhidi ya mwenzake 18000 tofauti na 2005 kuonyesha nae kashuka thamani saaana... Pia sio kila jimbo waliloshinda CHADEMA ubunge na uraisi wameshinda kwa mfano Ubungo?? maswa kule?? Chunguza kwanza kura za Slaa ziliibwa zaidi kuliko walivyohangaika kuiba za wabunge... Ndio maana idadi ya wapiga kura wa ubunge ilikuwa imetofauti na uraisi kwa vituo zaidi ya 85%.

Kuhusu CUF, hivi kumbe watamsimamisha tena Lipumba?? Marakumi awe Mtatiro aweza fika hata 8%... Lipumba hana jipya ataangamiza chama tuu yule... Daaaah!! watu bwana kwa kulazimisha mambo khaaaah!!!

mkuu signature yako imenikuna.

It can be difficult :thinking: to say this but it is a sin to stop talking the truth... :tongue1:

progress.gif

nimeongea ukweli lakini unaniona mpuuzi
 
Duh,Unajua uchaguzi una mengi sana si dini tu,bali kabila,chama anachotoka mgombea,mwonekano wa mgombea,uwezo wa kifedha,fitina zake na chama chake,utayari wa wananchi kwenye mabadiliko,ushawishi wa mgombea na chama chake,katiba ya nchi na uhuru wa tume inayoratibu na kutangaza matokeo,wingi wa waumini wa dini fulani kama dini ni deciding factor,ushindani kati ya wagombea...............yani yote hayo na mengine mengi,yataamua nani awe rais wa nchi hii......sasa mwenye factors nyingi kwenye side yake anaweza shinda...........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom