Profee Essoree
Member
- Sep 14, 2011
- 36
- 5
Ninyi mnaonaje tukifanya uchaguzi ujao kwenye net!
sema kaka,me namaanisha tukifanya huo uchaguz kwa internet,we unaonaje!kwani mbu watakuwa wengi sana?
malaria haikubaliki.
nimekupata kaka mi naona itakuwa powa sana maana uchakachuaji utakua 0 ila wa vijijini sijui itakuwaje?sema kaka,me namaanisha tukifanya huo uchaguz kwa internet,we unaonaje!
ujue wabongo wanaoumiza vichwa kama jamiiforum, jigambeads, michuzi, tanzaniakwetu, wanaouwezo wa kubadilisha uchaguzi ukawa online na kutufutia huu uchakachuzi,mfano we angalia idea ya kuwaunganisha watangazaji na mapublisher online iliyofanywa na wabongo wenzetu,jaribu kuingia jigambeads uone kama haitowezekana!nimekupata kaka mi naona itakuwa powa sana maana uchakachuaji utakua 0 ila wa vijijini sijui itakuwaje?
Umeme unao ?Ninyi mnaonaje tukifanya uchaguzi ujao kwenye net!
Umeme unao ?