Elections 2010 Uchaguzi 2010: TBC1 are doing good job!

Pasco huyo mama ana pes EL na RA hivyio kazi ipo kubwa kwa jinsi alivyomg'oa mgombea wa JK Mwangunga. Ni lazima tufanya kazi ya ziada kuhakikisha kuwa kura za Mnyika haziibiwi hata kidogo. Kuanzia kesho tuwapashe habari wakzi wote wa Ubungo ambao hawakutazama kipindi hicho kuhusu kashfa hiyo.
 
Huyu Mama atakuwa alichakachua mambo kipindi cha kura za maoni.Maana nilisikia alipita kwenye vikoba vya wa mama na kudumbukiza ngawira hata kabla TAKUKURU hawajaamka.Na kama hajachakacha basi SISIEMU wote ubungo mambumbu au walirogwa wakamwacha Nape.Halafu hii shahada ya utawala ni ya chuo gani?. Maana ile reaction yake ni kama hajasoma chochote kuhusu saikolojia.Swali lilikuwa zuri la yeye kujisafisha, yeye anamtisha mpiga kura.


MNYIKA NJIA NYEUPEEEEEEEE - Huyu mama akishinda basi kunauchakachuaji!
 
MWANAHAKI ina maana haukuona jinsi yule mwendeshaji wa kipindi alivyo kuwa akmitetemekea huyo mama aliyepandsha wa CCM kiasi cha waliohdhuria kuanza kumzomea ndipo akapata ujasiri wa kuchukua role ya kuongoza kipindi kwa kutoa haki saswa kwa wagombea wote?
.
Jatropha, naombakumtetea mwendesha kipindi, Shabani Kissu, hii ndio mara yake ya kwanza kuendesha live talk show, in fact hii ndio live talk show ya kwanza kuendeshwa na TBC inje ya studio zake, hivyo ni kawaida kwa mtangazaji kutaka kupanic vitisho vya kufikishana mahakamani vinapotolewa na mgombea wa chama tawala. Kissu alirecover in a split of second na kuresume controll kwa kumcotroll huyo mama na kuzima majazba yake kwa kusema tunaendea, mama alikaa huku amefura kama chura, yule muuliza swali akapigilia msumari wa mwisho aliposema, mahakama zimeundiwa watu,kama ni mahakamani tutakwenda, hapa jibu swali 'kwa nini umeuza nyumba ya UWT?, ndipo mama akanyea na kujibu 'Mimi sijauza nyumba'.

Kusema kweli the program was hot!.
 
....Pamoja na TBC kukatiza matangazo hayo na Mkurugenzi wake Tido Mhando, amelitolea ufafanuzi, wale ambao sio washabiki maandazi, tumemuelewa na tunaungana na TBC katika kuhamasisha kampeni za kistaarabu...

1. Hawana kiasi kikubwa sana cha uhuru wa kuamua wanachofikri ni sahihi kwa umma, wameshikwa na kufungwa mikono.

2. Nani ajibu ...kwanini walikatiza na baada ya muda kurusha tena tena matangazo... swali ni: Walitaka ku achive nini kwa kukata matangazo kwa muda ule na kuyaendeleza baada ya muda..

3. Ni kweli walikuwa na lengo sahihi na objective ya kuyazuia? Ni kweli walikuwa na lengo sahihi na objective ya kuyarusha tena? ...no they are just confused ..hata maaelezo aliyotoa Tido na yale yaliyotolewa jangwani hayaendani...simply confusion... They r not themselves in their work.

4. TBC si chombo huru, ndio maana baada ya wao kugundua kuwa Marin Hasan Marin Amekamatwa na wanaharakati wa mkutano ...then wali react kwa kuyarusha tena... haikuwa ridhaa yao kuyarudisha tena hewani... kwani hiyo ilikuwa ni kinyume cha matakwa ya mabosi wao...!! lakini wanachakujitetea kwa kusema ...Marin alitiwa msukosuko so ilibidi tuyarudishe hewani kumkomboa....! TBC haiko huru Mkuu!!
 
Wanabodi,
Tangu kuanza kwa kampeni, Ijumaa iliyopita, ni jana, leo na kesho, ndio nimepata nafasi kutulia nyumbani kufuatilia uchaguzi kwenye Electronic Media.

Jana nimeshuhudia TBC ikionyesha live uzinduzi wa kampeni za CUF, na leo nimeshuhudia Live ya uzinduzi wa kampeni ya Chadema.

Nimedokezwa TBC imetenga masaa 4 kwa kila chama kutangaziwa uzinduzi wa kampeni na ufungaji wa kampeni zao.

Pamoja na TBC kukatiza matangazo hayo na Mkurugenzi wake Tido Mhando, amelitolea ufafanuzi, wale ambao sio washabiki maandazi, tumemuelewa na tunaungana na TBC katika kuhamasisha kampeni za kistaarabu.

Pongezi hizi nazitoa kufuatia saa hizi, nashuhudia live ya kipindi kingine kipya kiitacho Mchakato Majimboni. Hiki ni kipindi cha mdahalo live kati ya wagombea ubunge jimbo kwa jimbo wakijieleza live.

Kitendo hiki cha TBC kuvipa nafasi sawa vyama vyote, ni jambo la kustahili pongezi.

Kwa mfano Channel Ten kwa muda mrefu imekuwa TV huru isiyo na upendeleo. Leo kwenye news zote, uzinduzi wa kampeni za Chadema ndio umekuwa lead story, lakini kwenye news za Channel Ten, leo yao ni muendelezo wa kampeni ya CCM. Inawezekana upendeleo huu maalum, unafuatia umiliki wa Tanil na RA kwenye kituo hicho, hivyo kwa sasa TV huru ya uchaguzi, imebaki ni TBC Pekee.

Big Up TBC!.
Pamoja na kilichotokea jana, tutumie fursa hii kuyaangazia mazuri ya TBC
Kilichotokea jana pale Mbagala Zakhiem, kwenye mkutano wa uzinduzi kampeni za Chadema, party ni hiki kilichozungumzwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayub Rioba, 3-years ago

Dr. Rioba alisema TBC itafanya kazi na vyama vyote. Kama TBC imetuma team ya live kutangaza live mkutano wa Chadema, halafu Mwenyekiti wa Chadema akawafukuza live on TV kwa kuwatuhumu kuzima matangazo huku wakiwa live on air!. This is not right at all!.

TCRA watoe muongozo kwa vyama vyote vya siasa wakiwa live wazungumzie nini na wasizungumzie nini, ili wasikatwe wakiwa live.

Kitendo cha kuwafukuza TBC sio cha Kistaarabu kwa sisi media kufukuzwa kama mbwa kuonyeshea hutakiwi!.

Huku sio kujitendea haki Chadema kama chama, sio kuwatendea haki wanachama wao na kikubwa zaidi sio kuwatendea haki Watanzania kwa ujumla kukosa fursa ya kusikia sera za Chadema, hivyo kukichagua,haswa kwa kuzingatia TBC ndio the only FTA television Tanzania yenye the widest coverage.

P
 
What are you trying to say bro? Tafsiri ya kampeni za kistaarabu ni nini? Na ni nani anaweka hizo criteria? Muda mwingine tunatumia misamiati mizuri sana kujustify matendo machafu, kwa hiyo TBC ni chombo kinachocensor maneno watu watamkayo? Na hiyo inafanyika tu pale CHADEMA wanapoyatamka? Pale ambapo wapinzani wanatukanwa kwenye majukwaa ya kampeni za CCM tafsiri ya ustaarabu inabadili maana? Hizi double standards muda mwingine tujaribu kuziangalia, maana zinatupotezea credibility za uchambuzi. Sheria ziko wazi, kama kuna matusi aliyetoa anaweza kupelekwa mahakamani kuliko TBC kuanzisha mahakama yake. Hii kwa maoni yangu haistahili kutetewa, hata na ninyi washabiki wa kichapati, acha wale washabiki maandazi!!!
Duh...!, utadhani ni jana, hii ni 10-years back!.
P
 
Nashukuru kwa uzi wako, natumai bwana mayala siku chache zijazo utakuja na uzi mfano wa huu, kucriticize TBC na uongo wao wa kichama
Wewe si iendelee kusikiliza ukweli na uhakika kutoka TBC au ianzishe ya kwako kwakuwa unajiona ni nguli kuliko nguli wa BBC.
Haikosoi TBC hata mara moja anaikosoa BBC.
Heeeee! eti BBC!!! Yaani watu hawaoni fyongo, uzushi na upotoshaji wa TBC ya Ayoub wanaona ya London
''Ondoa kibanzi kwenye jicho lako ndipo uondoe boriti .....''
JokaKuu
Uwezo wako ni wakukosoa TBC tu... Huko pengine sio level yako... Kwanza mabeberu ni wakina nani?
Karibuni.
P
 
Pamoja na kilichotokea jana, tutumie fursa hii kuyaangazia mazuri ya TBC
Kilichotokea jana pale Mbagala Zakhiem, kwenye mkutano wa uzinduzi kampeni za Chadema, party ni hiki kilichozungumzwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayub Rioba, 3-years ago

Dr. Rioba alisema TBC itafanya kazi na vyama vyote. Kama TBC imetuma team ya live kutangaza live mkutano wa Chadema, halafu Mwenyekiti wa Chadema akawafukuza live on TV kwa kuwatuhumu kuzima matangazo huku wakiwa live on air!. This is not right at all!.

TCRA watoe muongozo kwa vyama vyote vya siasa wakiwa live wazungumzie nini na wasizungumzie nini, ili wasikatwe wakiwa live.

Kitendo cha kuwafukuza TBC sio cha Kistaarabu kwa sisi media kufukuzwa kama mbwa kuonyeshea hutakiwi!.

Huku sio kujitendea haki Chadema kama chama, sio kuwatendea haki wanachama wao na kikubwa zaidi sio kuwatendea haki Watanzania kwa ujumla kukosa fursa ya kusikia sera za Chadema, hivyo kukichagua,haswa kwa kuzingatia TBC ndio the only FTA television Tanzania yenye the widest coverage.

P
Luka 8:27-39 Yesu anataka u"Rudi nyumbani ukaeleze yote MUNGU aliyokutendea"
 
Back
Top Bottom