UCHAGUZI 2010: CCM Vs CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UCHAGUZI 2010: CCM Vs CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by W. J. Malecela, Nov 2, 2010.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama ule usingizi fo! fo! fo! waliokuwa nao zamani. Ukiangalia kwa undani sana utagundua katika sehemu nyingi za uchaguzi, joto ya jiwe ilikuwa ni CCM against CCM yenyewe, ingawa pia Chadema wanastahili pongezi sana kwa juhudi zao nzito hasa za dakika za mwishoni za kuwafikia wanachi wengi walioko vijijini na hasa miji midogo.

  - Dr. Slaa, ni lazima aende ndani ya vitabu vya historia kama shujaa aliyewahi kuipigisha magoti CCM, tena single handed as Dr. Slaa, yes I sad it, single handed as Dr. Slaa. Matokeo ya uchaguzi wa jana yanamuweka Dr. Slaa juu ya wapinzani wote waliowahi kutokea na kuishi siasa za upinzani katika historia ya taifa letu, Mungu ambarikie na Aibariki Tanzania.

  - Pamoja na kwamba matokeo kamili hayajasemwa rasmi, sio siri kwamba wapinzani hasa Chadema, wamefanikiwa sana katika kujiwekea imani na wanachi. Vita vikubwa vya CCM against CCM vimeisadia sana Chadema na wapinzani wote na linapaswa kua fundisho kwa CCM kwamba wakati ni huu wa kujirekebisha ama sivyo watarekebishwa zaidi kwa kura za wananchi 2015.

  - Pamoja na CCM kushinda, bado historia inatakiwa kuwaandika Wapinzani na hasa Chadema kuwa ndio hasa washindi wa uchaguzi wa mwaka 2010, ninapenda kutoa heshima zangu za dhati kwa Wapinzani wote Tanzania, na hasa Chadema kwa kazi nzito na welldone. Ni wakati wa CCM kurudi nyuma na kutafakari na kujirkebisha au kusubiri kurekebishwa zaidi na kura za wananchi 2015.

  Ahsanteni Wandugu, na Mungu Aibariki Tanzania.


  William.
   
 2. Dr Hope

  Dr Hope Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Your philosophy is not cogent.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,837
  Trophy Points: 280
  futa kwanza kauli yako mzee ..ukidai ccm againts ccm unakuwa hueleweki,ila nakubaliana na point yako kuwa dr Slaa wa ukweli ameshaingia kwenye historia ya Tanzania kwa kuwa mpinzani wa kwanza kuingia madarakani .right?
   
 4. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Well I said it ha! ha! ha! ha!

  Wiliam.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,837
  Trophy Points: 280
  who are you by the way??unafikiri tunaogopa jina lako hilo?:A S angry:
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Kwenye uwanja wa Great Thinkers kuna kuogopana majina? toka lini mkuu? ha! ha! ha! ha!


  william.
   
 7. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Bill, what do you mean by CCM Against CCM?
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,837
  Trophy Points: 280
  is better you go to sleep now!!!!
  Ubunge Masasi - CUF
  Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA
  Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
  Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
  Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
  Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
  Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
  Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi
  Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
  Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
  Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
  Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
  Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
  Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
  Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
  Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
  Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
  Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
  Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA

  Bwaha ha ah aha ha !! ccm against ccm
  na bado mvua itaendelea kukunyea :smile-big:
   
 9. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Ha! ha! ha! ha! ha! what a Great Thinker HA! ha!

  William.
   
 10. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nimekugongea thanks mkuu japo kuwa umeshindwa kutupa credit wananchi moja kwa moja kwamaba tumechoka kufisadiwa badala yake unasema maamuzi yetu yametokana na ugomvi kati ya ccm na ccm.hata kama wangekuwa hawajagombana watanzania wameamka sasa na hio 2015 tunawafuta kabisa ccm kwenye uongozi wa nchi yetu.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,837
  Trophy Points: 280
  what a Great Thinker,sioni point ya kuendelea kubishana na wewe unachekacheka tuuu...
   
 12. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mueleweni huyu Bwana. Anathibitisha kwa maneno machache kuwa washindi wa uchaguzi ni Chadema na rais wa Watanzania ni Dr Slaa. Anathibitisha kama nilivyokwishasema kwenye threadi nyingine kuwa kazi ya Dr. Slaa kama Rais wa Watanzania ni kuponya majeraha ya umoja wetu uliojeruhiwa vibaya sana kwa kampeni zisizofaa za CCM na timu ya JK za kuwagawa Watanzania kwa tamaa mbaya ya kupata madaraka.
   
 13. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Mkuu uko sawa sana, unajua ni mapungufu yangu tu kama bin-adam nikasahau hilo ni kweli sana Jamii forums played a big role, unajua nimeshitushwa sana na the last three days tulipokuwa kwenye mjadala wa yule dada wa kizungu,

  - I mean hundreds of people wamini-contact through that topic I was shocked, mkuu uko right JF inahitaji pongezi sana na huu muamko wa wananchi, na ninasema haya toka moyoni mwangu.

  William.
   
 14. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Huyu ni mwenzetu tupo naye hapa tunabeba naye box wakati mwingine mabox haya yanatupunyua nywele zetu na kuzifanya ziwe fupi. Si unajua tena akili ni nywele....
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,837
  Trophy Points: 280
  well said!!!God bless you William
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Acheni kumshambulia Bill JSCM, CCM against CCM ni kule Mtera... Nasikia kule Dogo Lusinde ameshinda kwa tofauti ya kura chache... Ni kweli???
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Well, Great Thinkers hawahitaji kukumbushwa nilichokisema maana kinaeleweka, wala sina sababu ya kurudia!

  William.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,837
  Trophy Points: 280
  poa tumemuacha bro!!!
   
 19. lord cupid

  lord cupid Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je lingekuwa mechi ya football chadema vs ccm.... score ingekuwa ngapi ngapi????.....wazeee....rais atakuwa nani?????????????.....tuwasikilize watanzania
   
 20. N

  Nampula JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maurinho unatutisha mzee...........
   
Loading...