Uchaga na ukabila hautusaidii, tujifunze sisi watu wa Kanda ya ziwa

Mmmh kwamba wachaga wamesoma sana? May be yesterday and not today, sasa hivi watu wamesoma ni makabila karibu yote, njoo na data za enrollment ya vyuo vikuu ndio uje useme wachaga ndio wana soma zaidi! Kuhusu kusema wachaga ni bora zaidi ya wasukuma or kabla lingine ni ujinga mwingine, nyie wote ni waafrika, MNA matatizo Yale Yale ya kiafrika, hii mijadala ya kikabila itawasaidia nini? Au uchagani ni kama New York? Wote ni ngozi nyeusi, ebu fikilini mambo ya maana.
Mtu aliyezaliwa Leo huwezi mfananisha na aliyezaliwa jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu wa wachaga Ni wivu wenye mrengo wa kimaendeleo
Yaani Kama ofisini Kuna mtu Ana Masters yeye ataona wivu na kwenda kusoma phd

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba nitofautiane nawe, kuna wivu wa majungu ule.
Watajaribu kushawishi hauwezi kitu flani n.k. lengo likiwa utolewe kwenye ile nafasi.
Namna pekee ya kuwashinda wewe piga kazi na kuimaliza kwa ufanisi wa hali ya juu ile waliyosema utashindwa.
 
Mkuu uko sahihi kabisa yaani hayo mambo wasukuma tunakwama mno,
Umenifanya nikumbuke mbali sana yaani,
Wasukuma tubadilike hata kwa nguvu kwa kutumbuana ili mradi anhalau tuendane na wenzetu wachaga,
Sikubaliani na ukabila ila tafadhali tulio makabila mengine tukubali kukosolewa ili tuije ge nchi katika ustarabu wa uliomzuei paspi kuendwkeza na kukumbatia mila na tamaduni hasi ambazo zitalifanya taifa kuendelea kuwa la kijinga lisilo jitambua,
Asante sana mwasilishaji na mchambuzi mzuri wa kabila langu Sukuma,
Jaman wasukuma tubalike tuachane na mambo ya 'KUPULA' wanafunzi
 
Nimeandika ninachofahamu na Nimeishi kwa muda mrefu sana wakati Ginnery ikifanya kazi, wazee wengi pale nawafahamu wajita pale hawapo! Kuanzia stendi kwenda kanisa katoriki,
Stendi kwenda Ginnery hadi kule zahanati, kituo cha polisi,
Stendi kwenda pampu ya maji na njia na kule mugane sasa mjita wa wapi?
Kwa hiyo unataka kubadilisha kabila langu au!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbogo nyeusi,
Wewe mwenyewe kweli umesoma? Unaigiza kuwa wa mkoa wa Mara ili kuonesha kwamba kabila lako la wachaga limesoma sana! Tueleze; ukisoma sana ndio unadekeza ukabila? Hadithi za sekondari unazileta hapa JF. Mimi natoka Arusha, wachaga ni majirani lakini tunawafahamu kwamba ni wakabila! Siyo kusoma wala kutosoma ni wakabila. Leo hii Arusha tumeruhusu Mchaga kuwa Mbunge kwetu, Huko Mwanza walisharuhusu Mchaga kuwa Mbunge. Fanya jaribio kwamba kabila jingine, hata Mpare jirani wa mkoa mmoja ajaribu kugombea Moshi mjini ndio utajua ubaguzi wa kichaga.

Hivi karibuni askofu wa katoliki jimbo la Mwanza alikuwa Mchaga, peleka kabila jingine awe askofu Moshi uone atakavyopata mazigira magumu ya kazi. Kwa kutojua kwako unaanza kuhesabu shule za sekondari ukilinganisha na mikoa mingine, hiyo ndio iwe sababu ya ubaguzi au nini unachoandika?

Umejiandikia kutaka likes za wachaga. Jiulize kwa nini hadi leo Moshi hakuna soda ya pepsi. Ni kusoma sana pia? Kusoma ndio kulifanya Kimei atoe mikopo mingi kwa wachaga? Kama unaweza, soma thread nyingi ndani ya JF zikuoneshe upuuzi unaotetea, hadi hilo la kusoma sana, sijui maana yake ni nini! Wao wanazagaa mikoa ya wengine wakati Moshi hawaruhusu biashara za makabila mengine. Fungua duka uone kama mchaga atakuja kununua dukani kwako aache la Mariwa!
 
Wachaga si wabaguzi ila wachaga wako aggresive mda wote kwenye kutafuta hela.

Moshi ni kamji kadogo sana kwao, hata wao wenyewe hakawatoshi ndo maana wametapaka kila kona wakitafuta kipato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mchaga ila hawa jamaa kwenye maswala ya maendeleo hawana utani kabisa. Ni vizuri kuwaiga kuliko kuonesha chuki za kijinga
 
Hamna kitu kama hicho kwamba 90 percent. Ya wakazi wa Kilimanjaro hawaishi kwenye umasikini, haipo! Lete hizo takwimu.
Soma hiyo ukiendelea kubisha nakuwekea ripoti yote yenye hiyo mikoa kwanzia wa kwanza hadi wa mwisho
Kiufupi mkoa unaoongoza ni dar kwa 92% ikifuata na kilimanjaro kwa 90%
Yaani kilimanjaro 90% wana maisha bora
Screenshot_20200101-183013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom