Uchafuzi wa mazingira Dar es Salaam

wazanaki

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
1,092
804
Wakuu wakuu. Ninaandika kwa machungu na hasira sana. Hivi wakuu kwann hatuzingatii vitu vya msingi vyenye athari ya moja kwa moja kwenye jamii.

1. Uchomaji taka holela
Kuna watu huku mtaaani wanachoma taka inakua ni usumbufu. Maana moshi ni kuanzia asubuhi hadi jioni. Mbona kuna mitaa hapa dar ukifanya hivo unaingia matatizoni. Kwa mfano masaki huwezi fanya ujinga huo. Ukichafua hali ya hewa watu wanafika fasta unapigwa fine. Nilikua naomba kama kitengo cha mazingira. Basi iwekwe sheria ya uchomaji taka au kuwe kuna jalala kuu la kuchomea taka asee. Nafikiri pia sometimes watu wanaugua vifua kwa sababu kama hizi. Au kama vipi serikali iangalie njia zinazotumika kwa mataifa yalioendelea kuona wanavo monitor air pollution. Kwa kweli hali ya hewa dar es salaam ni chafu sana. Kuna kipimo cha air quality siku moja nilikua nacho nikapima nikakuta tunavuta hewa chafu sana.

2. Magari yanayotoa moshi mwingi
Wakuu haya magari yamekua ni tabu sasa. Yani magari yote yaliyokwisha yanatupwa tanzania kama jalala mwisho wa siku yanakuja kutuchafulia hewa. Traffic tanzania imefocus sana kwenye makosa mengine lakini kosa la gari kutoa moshi mwingi wala hata hawafatilii. Leo hii ukienda ulaya gari likitoa koshi utapigwa faini ya bei y ma kiwanja na jela utaenda. Ni kwa.ba watanzania tunathamini sana pesa kuliko afya au ni nn. Hali ya hewa ya dar sio nzui kabisa. Ukitaka kuamini uwe unatoka mkoani unaingia dar uone hewa ilivo nzito.

3. Viwanda ndani ya jiji
Wakuu. Ni kwa nn tunakua na maviwanda ndani ya residential areas, hii sio sahihi. Hata standard za viwanda haiko hivo. Ki standard, viwanda vinapaswa kukaa 60km kutoka residential area. Ndo maana matatizo ya magonjwa hasa ya mapafu hayaishi dar.

Niishie hapo.
Lakini kumbuka hii ni topic ya muhimu kati ya topic muhimu jamii forum
 
Ndio changamoto za kuishi kwenye miji mikuu. Njoo Minjingu hautakaa kuona huo uchafuzi.
 
Habarini marafiki. Nawaomba sana ukifika Postampya hakikisha uangushi kitu chini iwe tiketi ama karatasi ya vocha! ama ganda la karanga ama uchafu wa aina yoyote ile, Plz plz narudia tena, ukifika Posta usiangushe kitu chochote kile amabcho ni uchafu, utaenda lockup ya Jiji na utakaa hapo faini ni kukaa masaa 24 ama 48 na kiasi cha pesa juu.

1. Kuna bajaji nyekundu ipo hapo usawa wa benki ya TPB banki na nyingine ipo upande wa jengo la Mafuta house ya bluu, humo kuna ASKARI WA JIJI NA JKT. wanafuatilia mienendo yote na wakikuona tu wanakukamata na kukuchukua.. naomba sana kuna vijana wawili wamekamatwa nimewaonea huruma na hao jamaa hawapokei hata mia yako wapo makini sana.

2. Kuna mdada amenyoa panki amevaa vizuri sana mkononi ameshika kitabu na pochi huyo ni mtu wa hao wa jiji akikusimamisha jua tu umeangusha kitu ama kuna tatizo.

Kwa kuwagutusha na hili, naomba wana jiji tuwe makini sana na pia tuwe mfano "TUZINGATIE USAFI, USAFI BILA SHURUTI INAWEZEKANA"
 
Habarini marafiki. Nawaomba sana ukifika Postampya hakikisha uangushi kitu chini iwe tiketi ama karatasi ya vocha! ama ganda la karanga ama uchafu wa aina yoyote ile, Plz plz narudia tena, ukifika Posta usiangushe kitu chochote kile amabcho ni uchafu, utaenda lockup ya Jiji na utakaa hapo faini ni kukaa masaa 24 ama 48 na kiasi cha pesa juu..

Bongo bwana baada ya kutoa elimu kwa watu wao wanaviziana tu.
 
Kwenye magari siku hizi ndio yanan'golewa masega na wajanja wa mjini ule moshi ndio unakuwa na sumu za kila aina.

Huo mji wenu ukiendelea hivyo utakuja kuwa kama miji ya huko India na China, kuna saa wanavaa barakoa kabla hata ya mlipuko wa corona ili kukwepa athari za kuvuta hewa chafu.

5644b257dd08955c5a8b46d2.jpeg

GettyImages_1180855514.jpg
 
Wakuu wakuu. Ninaandika kwa machungu na hasira sana. Hivi wakuu kwann hatuzingatii vitu vya msingi vyenye athari ya moja kwa moja kwenye jamii.

1. Uchomaji taka holela
Kuna watu huku mtaaani wanachoma taka inakua mi usumbufu. Maana moshi ni kuanzia asubuhi hadi jioni. Mbona kuna mitaa hapa dar ukifanya hivo unaingia matatizoni. Kwa mfano masaki huwezi fanya ujinga huo. Ukichafua hali ya hewa watu wanafika fasta unapigwa fine. Nilikua naomba kama kitengo cha mazingira. Basi iwekwe sheria ya uchomaji taka au kuwe kuna jalala kuu la kuchomea taka asee. Nafikiri pia sometimes watu wanaugua vifua kwa sababu kama hizi. Au kama vipi serikali iangalie njia zinazotumika kwa mataifa yalioendelea kuona wanavo monitor air pollution. Kwa kweli hali ya hewa dar es salaam ni chafu sana. Kuna kipimo cha air quality siku moja nilikua nacho nikapima nikakuta tunavuta hewa chafu sana.

2. Magari yanayotoa moshi mwingi
Wakuu haya magari yamekua ni tabu sasa. Yani magari yote yaliyokwisha yanatupwa tanzania kama jalala mwisho wa siku yanakuja kutuchafulia hewa. Traffic tanzania imefocus sana kwenye makosa mengine lakini kosa la gari kutoa moshi mwingi wala hata hawafatilii. Leo hii ukienda ulaya gari likitoa koshi utapigwa faini ya bei y ma kiwanja na jela utaenda. Ni kwa.ba watanzania tunathamini sana pesa kuliko afya au ni nn. Hali ya hewa ya dar sio nzui kabisa. Ukitaka kuamini uwe unatoka mkoani unaingia dar uone hewa ilivo nzito.

3. Viwanda ndani ya jiji
Wakuu. Ni kwa nn tunakua na maviwanda ndani ya residential areas, hii sio sahihi. Hata standard za viwanda haiko hivo. Ki standard, viwanda vinapaswa kukaa 60km kutoka residential area. Ndo maana matatizo ya magonjwa hasa ya mapafu hayaishi dar.

Niishie hapo.
Lakini kumbuka hii ni topic ya muhimu kati ya topic muhimu jamii forum
 
Kwenye magari siku hizi ndio yanan'golewa masega na wajanja wa mjini ule moshi ndio unakuwa na sumu za kila aina.

Huo mji wenu ukiendelea hivyo utakuja kuwa kama miji ya huko India na China, kuna saa wanavaa barakoa kabla hata ya mlipuko wa corona ili kukwepa athari za kuvuta hewa chafu.

View attachment 1683944
View attachment 1683945
Wabongo hutawaona kwenye hizi mada. Wako busy wana focus na topic za ushoga. Kwani mtu akiwa shoga anakuathiri nn. Yani mbongo ukimuwekea matatizo mawili

1. Hakuna chakula na maji
2. Kuna ushoga.

Mbongo atachagua kutatua tatizo la ushoga na kuacha lile ambalo ni necessary
 
What do you want to achieve, labda tuanzie hapo.

Kiufupi mji wa Dar na miji mingine mingk hapa tz inahitaji kusukwa upwaa, mipango miji gani hii ambayo inakuwa na mitaa ambayo haipitiki? Yani unaweza kuta barabara inaanzia main road vzr kabisa, lkn kadri unavyoingia ndani ya mtaa inaishia njini eti kisa watu wamejenga

Kwa hapa Dar ukitaka kuelewa ninachokisema nenda pale Magomeni, jinsi mitaa ilivyopangwa ndivyo ambavyo mitaa ya jiji zima ilipaswa iwe.

Wizara husika iko busy kubuni kodi mpya wakati mambo ya msingi inashindwa kuyatekeleza.
 
What do you want to achieve, labda tuanzie hapo....
Mamlaka ya mazingira wameisha fanya kitu gani cha ubunifu? Au hadi magufuli aingilie kati. Naona kwa tanzania ni kitengo ambacho hakiongelewi lakini ndo kitengo hatari sana kisipokaziwa jicho
 
Mamlaka ya mazingira wameisha fanya kitu gani cha ubunifu? Au hadi magufuli aingilie kati. Naona kwa tanzania ni kitengo ambacho hakiongelewi lakini ndo kitengo hatari sana kisipokaziwa jicho
Kwenye mazingira makonda at least alijaribu kufanya vizuri kuliko hata wataalamu wa mazingira. Ni aibu
 
Wabongo hutawaona kwenye hizi mada. Wako busy wana focus na topic za ushoga. Kwani mtu akiwa shoga anakuathiri nn. Yani mbongo ukimuwekea matatizo mawili

1. Hakuna chakula na maji
2. Kuna ushoga.

Mbongo atachagua kutatua tatizo la ushoga na kuacha lile ambalo ni necessary
Hlili tatizo kwa sasa wengi wanaweza kulichukulia poa ila huko mbeleni linaweza kuleta changamoto nyingi sana, kila nikifika Dar huwa naona kabisa jinsi hewa inavyonuka moshi, na takataka nyingine maana nimeshazoea maisha ya mkoani. Lakini nikikaa wiki mbili tatu naona tu hewa iko kawaida kama wakazi wengine kumbe tunavuta sumu tu.

Na kibaya zaidi kuna watu wanaofanya mazoezi (jogging) kando kando ya barabara jioni mida yenye foleni na msongamano mkubwa wa magari hao ndio unakuta wanavuta kila aina ya sumu huku wakifiri wanajenga mwili.
 
Hlili tatizo kwa sasa wengi wanaweza kulichukulia poa ila huko mbeleni linaweza kuleta changamoto nyingi sana, kila nikifika Dar huwa naona kabisa jinsi hewa inavyonuka moshi, na takataka nyingine maana nimeshazoea maisha ya mkoani. Lakini nikikaa wiki mbili tatu naona tu hewa iko kawaida kama wakazi wengine kumbe tunavuta sumu tu...
Hii topic naomba mnisaidie kuirusha kwenye kila aina ya group. Mimi nina mpango wa kuirusha kama mara 30 humu jamii forum. Watu hawashtuki mpaka waone athari. Na tukianza kuziona itakua too late
 
Habarini marafiki. Nawaomba sana ukifika Postampya hakikisha uangushi kitu chini iwe tiketi ama karatasi ya vocha! ama ganda la karanga ama uchafu wa aina yoyote ile, Plz plz narudia tena, ukifika Posta usiangushe kitu chochote kile amabcho ni uchafu, utaenda lockup ya Jiji na utakaa hapo faini ni kukaa masaa 24 ama 48 na kiasi cha pesa juu.

1. Kuna bajaji nyekundu ipo hapo usawa wa benki ya TPB banki na nyingine ipo upande wa jengo la Mafuta house ya bluu, humo kuna ASKARI WA JIJI NA JKT. wanafuatilia mienendo yote na wakikuona tu wanakukamata na kukuchukua.. naomba sana kuna vijana wawili wamekamatwa nimewaonea huruma na hao jamaa hawapokei hata mia yako wapo makini sana.

2. Kuna mdada amenyoa panki amevaa vizuri sana mkononi ameshika kitabu na pochi huyo ni mtu wa hao wa jiji akikusimamisha jua tu umeangusha kitu ama kuna tatizo.

Kwa kuwagutusha na hili, naomba wana jiji tuwe makini sana na pia tuwe mfano "TUZINGATIE USAFI, USAFI BILA SHURUTI INAWEZEKANA"
Hao hawako kwa ajili ya kuangalia mazingira
Wako kupiga tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom