Uchafu wa Dk Kebwe kutumia ofisi ya umma kufanya biashara

Ni Mtakatifu wa Watakatifu wote, huyu Ni mwana mpendwa wa Baba, hata akinya hadharani, baba atasema BASHITE ametenda muujiza, ametaga. Wanaosema amekunya ni mabeberu
Kama Yesu alivyo Kwa Mungu, ndivyo Bashite alivyo kwa Maguful
 
Magufuli ni mkweli balaa!, hakopeshi wala hamungunyi maneno.

P
Na yeye Akitoka madarakani atapokea za uso Hatoamini awe mvumilivu kipindi hicho
 
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Kama ni kweli na kosa si angeshitakiwa au sheria zetu zipo suspended?
 
Magufuli ni mkweli balaa!, hakopeshi wala hamungunyi maneno.

P

Yeye atajitetea wapi? Magufuli ana jukwaa Je Kebwe! Balance iko wapi
 
Yeye atajitetea wapi? Magufuli ana jukwaa Je Kebwe! Balance iko wapi
Kwenye presidential appointment powers to hire and fire, the president ana appoint at his pleasures for a reason or without any reason, so does kutumbua, ukiteuliwa huna mamlaka ya kuuliza why you japo you have a liberty ya kukubali au kukataa, na kwenye kutumbuliwa its the same, hakuna kuuliza wala kujitetea

Mtu ukiishatumbuliwa unaonekana ni jipu, niliwahi ushauri.

P
 
Malaika Mkuu,

Kumbuka kuwa kuna upotevu wa shs trl 2.4 serikalini,na mwizi siyo Kebwe.

Na ununuzi wa hizi ndege haufuati utaratibu wa kawaida wa manunuzi serikalini,wala CAG haruhusiwi kukagua hesabu za shirika letu pendwa la ndege.

Kebwe hahusiki na hayo yote,anahusika na mbao mbovu tu.
Sidhani kama wanunuzi wa hizi mbao hawakuona kama ni mbovu,walinunua tu na kumwambia Jiwe kwamba tumenunua mbao mbovu za Kebwe mfukuze kazi.

Lkn nilikuwa naota tu.
 
Kweli sina connection, kumbe Kebwe is no longer....tangu lini? Ila mbona CCM wote wezi tu?
 
Mbona kahukumiwa tayari kwenye mahakama kuu ya Kangoroo??

Kwani hukumsikia jaji mkuu Jiwe alichosema wakati anaelekea Dodoma?
 
Unachukia kwa vile huna opportunity hiyo. Ukipewa upenyo utakuwa mwaminifi? Unadhani ccm hakuna wezi Leo?
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
 
CCM hakuna kiongozi msafi ndio maana nchi imekwama, tumbua tumbua haziishi, ndani ya ccm kila mmoja mpiga dili ndio maana kaamua kuwapa madaraka WAPINZANI aliowanunua maana ana jua hao ndio walipikwa kizalendo.
 
Back
Top Bottom