Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

Mkuu, huo uchafu mweupe ndo unakufanya Upendo uupunguze kwa mke, namna nzuri ni kutafuta suluhisho ili mkeo uendelee kumpenda zaidi.
 
Ni Fungal Infection hiyo.. Hutokea Kama Imbalance itatokea kati ya Bacteria Lactobacillus na Fungi aina ya Candida wanapozidi........ Tatizo hili Huwa Linatokea Na Kupotea Baadae.... Kwahiyo Huo weupe Ni Fungusi
Nini inasababisha kuwe na Imbalance kati ya Hao Bacteria na Fungi?
 
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Acha ushamba wewe,huyo inaonesha ni mwaminifu sana,na wewe inaonesha ni mvivu sio mchimbuaji sana,hua unagusa juujuu
 
Labda nitakuwa tofauti na wengi...Nijuavyo siku zote mwanamke akiwa stimulated anapizi na kutoa hayo majimaji meupe...na hata ukimwandaa tu vizuri hutokea,na haina shida yoyote kwa wote wawili.

Inawezekana pia kuna yeast/Bacteria/fungi wanaosababisha kutokea hivyo ila lazima hilo liambatane na maumivu au Muwasho sehemu hizo.

Not neccesarly ni ugonjwa.
 
Sio ugonjwa mkuu...yuko horny sana....ni kawaida sana kwa mwanamke na inaonesha ameridhika emotional....I stand to be corrected
Sio kila uchafu unaotoka huko mwanamke yupo horny, kuna muda ni ugonjwa tatizo mtoa mada hajasema kama huo ute mwingi una harufu yoyote kasema tuu mweupe hata wa fungus uanza na weupe ikiwa sugu huwa brown na pia mkewe ana maumivu yoyote akiwa anafanya nae tendo hilo au ? humpendi kwasababu hii tuu au unasababu zako nyingine ndugu ?
 
Ni ugonjwa jombaa, aende hosp haikuhitaji wew kwenda, wangu pia tulivyoanza alikua hivyo nkampeka hosp akapewa dawa ikaisha vizur na akawa poa, na akaniacha mana alijiona amekua beyonce
Kama ni mjamzito is another case
 
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Same question
 
Kuna maumivu yeyote wakati wa tendo?? Anatoa harufu mbaya? Harufu ?? Ikoje?? Na imetomea mara ngap?? Hajiskii kiwashwa sehem za siri?? Naomba majibu mkuu ili tujue tunamsadiaje
 
Sio kila uchafu unaotoka huko mwanamke yupo horny, kuna muda ni ugonjwa tatizo mtoa mada hajasema kama huo ute mwingi una harufu yoyote kasema tuu mweupe hata wa fungus uanza na weupe ikiwa sugu huwa brown na pia mkewe ana maumivu yoyote akiwa anafanya nae tendo hilo au ? humpendi kwasababu hii tuu au unasababu zako nyingine ndugu ?
Hauna halufu wala maumivu hasikii
 
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au

Hiyo wazee Wa kugegeda tunaiita utoko, ni kawaida tu na wala Si ugonjwa!
Mimi bila kuona hiyo mizuka haipandi kabisa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom