Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

Mwenzenu upendo unapungua maana akiona katoka na ule weupe anadhani kna mtu kamtia mkewe na hayo ni mabaki...

Mkuu jiamini na muamini mkeo, ukiona hali hiyo muulize je unahisi maumivu kwa ndani nikikuingia..!? Kama jibu ni ndio basi aende hospitali na kama jibu ni hapana basi jaribu fingering na uone akiwa aurosed je huo weupe unakuwepo au laah.

Cha kujua cha muhimu ni kuwa uzazi wa mpango at times huleta complications kama hzo na at times ni kwamba labda unamtia karibia kila siku na yy hajifanyii usafi baada ya tendo hivo hizo unazoziona ni mbegu zako mwenyewe zmejazana ndani yake na kila ukimwaga lazma uongeze mzigo na utoke na mzigo.

*kna vidonge vya kumeza kwa kutumia UKE(yaani huingizwa ukeni) hutibu any fungus infection na kusafisha ndani. Nenda pharmacy pata muongozo hafu tumia
 
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Kama bado anahiyo shida tell me nimpe dawa,,
 
Huo ni ute kaka na huo ute unatokea anapokua kwenye heat. Usiwe na wasiwasi maana ute huo unakusaidia ku slide pia looool.
 
....kuna mawili hapo....hiyo inaweza kuwa fungal infection (candidiosis)...ambayo ni common sana kwa madem na tiba yake ni kumeza anti fungal drugs (mfano Miconazole)....Ugonjwa huu wa fungus usipotibiwa huleta muwasho mkali kwenye K la demu na K hutoa harufu mbaya hivyo ni bora akapimwe hospital.
...Nyingine ni kuwa utoko huo mweupe waweza kuwa ni juice tu ya K la demu wako....maana kuna milupo hutoa juice nyeupe wakati wa kuchapwa...hivyo angalia..kama huo utoko hauna harufu mbaya na kama demu hawashwi...yawezekana akawa poa...na kwamba ni juice tu ya utamu wa kuchapwa inamtoka....

...utoko mwingine mweupe kwa milupo yaweza kuwa ni maradhi ya Chlamydia...ambao hutoa taka nyeupe lakini nyepesi..na mademu wengi huwa hawajitambui wakiwa na maradhi haya ambayo madhara yake makubwa ni kuharibu via vya uzazi na hata kupelekea demu kukosa mimba...Dalili ya maradhi haya demu anaweza kuona chupi inaloa utando mweupe...haswa chupi nyeusi ndio huonyesha vema demu anapovua kubadili....Dawa yake ni madonge ya Ciprofloxacin ama Arithromycin...lakini ni vema demu aende kwa dokta akapimwe.....ikiwa ni pamoja na kupigwa dole kwenye K lake...
 
mkuu asije akawa ametumia ile TIBA YA DR, MWEZI KUSAGA KUKWA ZA EMBE KUONGEZA UTAMU.. MAANA KINA DADA WANASIRI SANA YANAPOKUJA MASWALA HAYO......

 
Inabidi mkeo asokomeze unga unga Wa kokwa LA embe lililokaushwa kwenye papuchi na atumie Maji ya mchai chai kuchambia kutwa Mara tatu
By J.J.Mwaka
 
The creamy stuff you are talking about is very normal.

Almost every girl I have been with has had that. It is actually a turn on for me and most other guys. I am actually turned off when i don't see that white creamy stuff during sex.

Mature and experienced guys know that its essential for the lady to be able to lubricate herself well during sex.

dude you missed a point! ni wife wake.... na anamjua vilivyo so inapotokea mabadiliko ya ghafla ya kimwili lazima awe concerned !! kama angalikuwa anatoa toka zamani alafu siku za karibuni hatoi pia angestuka....

all in all something new kimetokea ... na only dactari ndiye atakaye jua kwanini na nini hiko..?
 
Duuh! Kweli nmeshangaa sana, ipo siku humu ukiuliza mwanamke nikimchezea anatoa majimaji uke watakuja kukwambia ana fangas
 
Ni ugonjwa jombaa, aende hosp haikuhitaji wew kwenda, wangu pia tulivyoanza alikua hivyo nkampeka hosp akapewa dawa ikaisha vizur na akawa poa, na akaniacha mana alijiona amekua beyonce
 
Mbona wanaume wa siku hizi mmekosa haya hivyo?
Huyo ni mkeo lakini unakuja kuanika aibu zake hapa kweli jamani?
Yani umemuona na hali hiyo kwann usimpeleke hospitali unakuja kuomba ushauri humu ili iweje,
Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini si haya,

Ulishakaa nae chini ukamwambia?
Alishawahi kulalamika unamuumiza?
Akifika kileleni hua anatokwa nini?

Zungumza na mwenzio kwanza achana na mambo ya vijiweni,
Eti UPENDO UNAPUNGUA,
Hovyooooo!!
Hapana hajakosea, ndio maana tunatumia 'Anonymous name". Ndani ya jamvi tuna watalaam mbalimbali wakiwemo wa afya. Huoni ushauri uliotolewa ni wa kitalaam zaidi. Yeye aufanyie kazi. Sidhani yeye kwa kusema hivyo ametuwezesha kumfaham mke wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom