Uchafu mweupe wakati wa kugegedana

ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,159
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,159 2,000
Mbona wanaume wa siku hizi mmekosa haya hivyo?
Huyo ni mkeo lakini unakuja kuanika aibu zake hapa kweli jamani?
Yani umemuona na hali hiyo kwann usimpeleke hospitali unakuja kuomba ushauri humu ili iweje,
Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini si haya,

Ulishakaa nae chini ukamwambia?
Alishawahi kulalamika unamuumiza?
Akifika kileleni hua anatokwa nini?

Zungumza na mwenzio kwanza achana na mambo ya vijiweni,
Eti UPENDO UNAPUNGUA,
Hovyooooo!!
umepanic bila sababu km watu wasipo taja matatizo yao hapo ww huwezi kujifunza lolote pengine unaweza left.. nadhani kosa ni kulia lia humu km mtoto eti upendo unapungua....
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,974
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,974 2,000
Ni ugonjwa wa fangasi, muwahishe hospital afanye high vaginal swab na vipimo vingine atibiwee
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,974
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,974 2,000
The creamy stuff you are talking about is very normal.

Almost every girl I have been with has had that. It is actually a turn on for me and most other guys. I am actually turned off when i don't see that white creamy stuff during sex.

Mature and experienced guys know that its essential for the lady to be able to lubricate herself well during sex.
Mhh tafadhali, am sorry to say unakutana na wagonjwa
Lubricant sio nyeupe peee hadi ikuchafue mwanaume, mwenye afya yake lubricant inakua colourless kabisa
 
essaugervas

essaugervas

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
599
Points
250
essaugervas

essaugervas

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2016
599 250
kwann usiangeanzia hospital kupata msaada,,kuliko kuja hapa jf kuomba ushauri,,,
 
TEAM VIBAJAJI

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
1,717
Points
2,000
TEAM VIBAJAJI

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
1,717 2,000
Hapo mkuu ndio tayari gonjwa la zinaa lishaingia siku sio nyingi utaanza kuwashwa dushe utafikiri umelimwagia upupu wahini hosp.mkatibiwe nayeyote kati yenu aliye chepuka akamtibu na mchepuko wake
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,199
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,199 2,000
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au

MWANAMKE KUTOKWA UCHAFU UKENI- CHANZO NA TIBA YAKE


SAMAHANI KWA HIZI PICHA NILIZO WEKA.
Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu wa kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke.Uchafu Wa Sehemu Za Siri Ulio Wa Kawaida


Wanawake wote hutoa uchafu sehemu za siri. Kiwango cha uchafu unaotoka, rangi yake na harufu yake vitabalikabadilika kutoka kipindi kimoja hadi kingine kulingana na muda mwanamke aliopo katika mzunguko wake wa mwezi. Uchafu huu utabadilika vilevile kama ananyonyesha, atakuwa na hisia za kufanya mapenzi, atakuwa na mabadiliko ya lishe, anatumia madawa hasa ya mpango wa uzazi au atakuwa na ujauzito. Kwa kawaida uchafu huu huwa usio na rangi, wenye rangi yenye weupe wa mawingu au njanonjano pale unapokaukia kwenye nguo. Unaweza kuwa na vijipande vidogovidogo na mara nyingine ukawa wa kunatanata.Dalili Za Uchafu Wa Ukeni Usio Wa Kawaida


Madiliko ya uwingi wa uchafu unaotoka au katika rangi ya uchafu unaotoka ni dalili ya maambukizi ya magonjwa katika uke. Maambukizi katika uke ni tatizo la kawaida kwa wanawake na wanawake wengi wameshapata tatizo la maambukizi angalau mara moja katika maisha yao. Ukiona yafuatayo, ujue unaweza kuwa na tatizo la maambukizi ya vijijidudu vya maradhi katika uke wako:

  • Kutokwa na uchafu ukeni kunakoambatana na kuwashwa au vijipele
  • Kutokwa na uchafu ukeni ambako ni endelevu na kwa kiwango kinachozidi kila siku
  • Kusikia maumivu wakati wa kutoa haja ndogo
  • Kutokwa na uchafu mweupe, mzito kama jibini
  • Uchafu wa kijivu/mweupe au njano/kijani unaotoa harufu mbaya


Aina Za Uchafu Wa Ukeni Usio Wa Kawaida


Kitu cho chote kitakachoharibu uwiano wa bakteria wa kawaida waishio katika uke kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi, harufu au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke. Hapa chini naonyesha aina ya uchafu unaotoka, maana yake au chazo chake na dalili ambazo zitatokea kwenye mwili wa mwanamke husika:

Uchafu Wenye Damu Au Wa Rangi Ya Kahawia

Hii ni dalili ya mzungumko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na mara chache ni dalili ya kansa ya Cervix au aina nyingine ya kansa iitwayo endometrial cancer. Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi ukeni na kuumwa nyonga.

Uchafu Wenye Rangi Ya Mawingu Au Njano

Hii ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonorrhea). Mwanamke atatokwa na damu katikati ya siku zake, atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.

Uchafu Wa Njano Au Kijani Wenye Harufu Mbaya

Endapo uchafu utatoka kama mapovu, wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya , hii ni dalili ya Trichomoniasis, maambukizi (parasitic) yanayotokana na ngono zembe. Dalili nyigine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.

Uchafu Mweupe Mzito Kama Jibini

Hii ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungus (Yeast infection) na dalili nyingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (vulva), kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.

Uchafu Mweupe, Wa Njano Au Wa Kijivu Wenye Harufu Ya Samaki

Uchafu wa aina hii ni dalili za maabukizi ya Bacterial Vaginosis. Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu, kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (vulva).Aina Ya Maambukizi Ya Ukeni


Kuifanya mada yetu iwe na maana na msaada zaidi, tutazungumzia kwa undani zaidi aina chche za maambukizi ya ukeni ambazo zinawasumbua wanawake wengi zaidi, ambapo tutatazama dalili zake na kuelezea tiba ambazo zinawea kutolewa kuondoa matatizo hayo. Hapa tutazungumzia Bacterial Vaginosis, Trichomoniasis na Monilia (Yeast) Infection.

Bacterial Vaginosis: Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakifahamiki. Kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya bacteria hawa na kubadilisha uwiano wake kwenye mazingira ya uke. Wanawake wenye wapenzi wengi au wanaofanya mapenzi kupitia midomo wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata maambukizi ya Bacterial Vaginosis.

Dalili za Bacterial Vaginosis:

– Kuongezeka kwa uchafu unaotoka ukeni

– Kutokwa na uchafu wa kijivu/mweupe, mwepesi au wa majimaji

– Harufu kama ya samaki ikiambatana na uchafu

– Harufu inayozidi au uchafu unaozidi mara baada ya kufanya tendo la ndoa.

Tiba kwa tatizo la bacterial vaginosis zipo za aina mbili. Tiba ya aina ya kwanza ni kutumia metronidazole (Flagyl) na tiba ya pili ni kutumia antibiotic ya vidonge au ya cream.

Trichomoniasis: Maambukizi haya hutokana na aina ya protozoa wa seli moja. Trichomoniasis maranyingi huambukizwa kwa kufanya ngono. Protozoa huyu huweza kukaa kwenye mazingira ya unyevunyevu kwa muda wa saa 24 bila kufa hivyo kufanya taulo na nguo nyingine za kuogea kuwa chanzo kingine kikuu cha maambukizi.Dalili Za Trichomoniasis

– Kutokwa na uchafu wa rangi ya njano/kijani ulio kama mapovu

– Harufu mbaya inayoambatana na kutokwa na uchafu

– Kuongezeka kwa uwingi wa uchafu wa ukeni

– Maumivu ya ukeni au sehemu za nje ya uke (vulva)

– Kujisaidia haja ndogo mara nyingi zaidi

– Kuwashwa sehemu za siri

Tiba ya Trichomoniasis ni kunywa vidonge vya antibiotic, metronidazole.

Monilia (Yeast) Infection: Kwa kawaida kuna kiwango kidogo cha yeast (Candida albicans) katik uke. Tunasema kuna maambukizi ya yeast pale kiwango chao kinapozidi hali ambayo inatokana na kubadilika kwa hali ya ukeni (change in the pH balance of the vagina). Maambukizi ya yeast hayatokani na tendo la ngono. Kuna mambo ambayo yanaweza kusababisha kuongezeka kwa yeast katika uke, nayo ni; msongo wa mawazo, matumizi ya dawa za kuziua mimba, kisukari, ujauzito na matumizi ya antibotics.

Dalili Za Monilia (Yeast) Infection

– Mwongezeko wa uchafu unaotoka ukeni

– Uchafu mweupe unaotoka katika vifungu vidogo kama vya jibini

– Kuwashwa na mauvivu ya ukeni au sehemu za nje (vulva)

Tiba ya Monilia (Yeast) Infection inalenga kuzuia mwongezeko wa yeast katika uke na kuwarudisha kwenye kiwango kinachofaa na si kuwaondoa. Tiba ni kutumia vidonge vya antifungal na cream za kupaka ukeni. Kuna dawa nyingi za kuweza kuondoa tatizo hili.

Cytolytic Vaginosis: Hii ni hali inayojitokeza pale kunapotokea kuongeka kwa bakteria aitwaye lactobacillus kwenye uke. Lactobacilli ni bakteria wazuri wanaoishi ukeni bila kuleta matatizo ya aina yo yote. Kwa kawaida uwepo wa bakteria hawa unasaidia sana katika kupambana na wadudu aina nyingine wenye madhara kwa mwili – huongeza kinga ya mwili .

Lakini endapo mazingira dhalili ya uke yatabadilika, bakteria hawa wazuri wanaweza kuzalina kupita kiwango kinachotakiwa. Hii inaweza kutokea, kwa mfano, kunapotokea matumizi ya mara kwa mara ya antibiotics au dawa za kuzuia na kuua fungus.

Ni tatizo ambalo linalowapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa – miaka 25 – 40 – kwa sababu ya uwepo wa homoni ya estrogen.

Dalili za cytolytic vaginosis ni:

– Kutoka uchafu kwa wingi wenye rangi nyeupe, wa maji maji au mzito kama maziwa ya mgando

– Miwasho ya sehemu za ndani au nje ya uke

– Maumivu wakati wa kutoa haja ndogo

– Maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa

Dalili za tatizo hili ni rahisi sana kuzichanganya na zile za matatizo mengine ya hapo juu na hasa vaginal candidiasis (monilia).

Tatizo hili halina tiba bali kufanya yafuatayo:

– Kuacha kutumia antibiotics au dawa za fungus

– Kuacha kutumia sabuni ukeni na kutumia maji ya uvuguvugu tu

– Kutovaa nguo za ndan usiku

– Kutofanya tendo la ndoa

– Kupunguza kiwango cha sukari katika mlo


Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
2,593
Points
2,000
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
2,593 2,000
Mbona wanaume wa siku hizi mmekosa haya hivyo?
Huyo ni mkeo lakini unakuja kuanika aibu zake hapa kweli jamani?
Yani umemuona na hali hiyo kwann usimpeleke hospitali unakuja kuomba ushauri humu ili iweje,
Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini si haya,

Ulishakaa nae chini ukamwambia?
Alishawahi kulalamika unamuumiza?
Akifika kileleni hua anatokwa nini?

Zungumza na mwenzio kwanza achana na mambo ya vijiweni,
Eti UPENDO UNAPUNGUA,
Hovyooooo!!
humu si kwa faida ya wote..bi dada..??...na ndio maana tunatumia majina bandia...
 
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
2,593
Points
2,000
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
2,593 2,000
....kuna mawili hapo....hiyo inaweza kuwa fungal infection (candidiosis)...ambayo ni common sana kwa madem na tiba yake ni kumeza anti fungal drugs (mfano Miconazole)....Ugonjwa huu wa fungus usipotibiwa huleta muwasho mkali kwenye K la demu na K hutoa harufu mbaya hivyo ni bora akapimwe hospital.
...Nyingine ni kuwa utoko huo mweupe waweza kuwa ni juice tu ya K la demu wako....maana kuna milupo hutoa juice nyeupe wakati wa kuchapwa...hivyo angalia..kama huo utoko hauna harufu mbaya na kama demu hawashwi...yawezekana akawa poa...na kwamba ni juice tu ya utamu wa kuchapwa inamtoka....

...utoko mwingine mweupe kwa milupo yaweza kuwa ni maradhi ya Chlamydia...ambao hutoa taka nyeupe lakini nyepesi..na mademu wengi huwa hawajitambui wakiwa na maradhi haya ambayo madhara yake makubwa ni kuharibu via vya uzazi na hata kupelekea demu kukosa mimba...Dalili ya maradhi haya demu anaweza kuona chupi inaloa utando mweupe...haswa chupi nyeusi ndio huonyesha vema demu anapovua kubadili....Dawa yake ni madonge ya Ciprofloxacin ama Arithromycin...lakini ni vema demu aende kwa dokta akapimwe.....ikiwa ni pamoja na kupigwa dole kwenye K lake...
duuh...ushauri umenyooka wa ki'hard core......kinoma...
 
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,511
Points
2,000
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,511 2,000
Duh sasa wewe kma unamwaga ndani na yeye anamwaga ndani si ndio sasa ukitoa D yako unakuta yote mliyoyamwaga.....
 
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
4,240
Points
2,000
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
4,240 2,000
kwa sisi wabobezi wa ngono kama madame hana muwasho wala maumivu yeyote basi huo sio ugonjwa,ni vilainishi tu vya asili kwa mwanamke,next time nusa harufu,ukiona ni harufu ya asili ya papuchi ujue sio tatizo,tatizo ukiona huo weupe una dalili ya unjano kama cream ya maziwa,hilo sasa ndio tatizo,otherwise nimebaini hapa akina najua yote wengi hawana uzoefu na nyuchi,shame on u kind of men...
 
S

Subiradeommy

New Member
Joined
Nov 14, 2018
Messages
3
Points
20
S

Subiradeommy

New Member
Joined Nov 14, 2018
3 20
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Huenda ni fungal infection or (PID)Pelvic inflammatory disease kwa kisayansi. Hya ni maambukizi ktk via vya uzazi husababishwa na mimba kutoka (miscarriage) au kutoa mimba (abortion) pale mango wa uzazi unapokuwa wazi husababisha infections kuingia ndani ya via vya uzazi( mda mwingne ni kufanya mapenzi Mara tu baada ya uzazi,au mimba kutoka) hupelekea sasa uchafu mweupe kutoka ukeni unaoambatana na harufu.Nmejaribu kuzungumzia kulingana na nlivyosoma kidogo kuhsu PID. UGONJWA unatibika muwahishe hospital afanyiwe vipimo atapona inshaallah
 
SIERA

SIERA

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,330
Points
2,000
SIERA

SIERA

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,330 2,000
Huenda ni fungal infection or (PID)Pelvic inflammatory disease kwa kisayansi. Hya ni maambukizi ktk via vya uzazi husababishwa na mimba kutoka (miscarriage) au kutoa mimba (abortion) pale mango wa uzazi unapokuwa wazi husababisha infections kuingia ndani ya via vya uzazi( mda mwingne ni kufanya mapenzi Mara tu baada ya uzazi,au mimba kutoka) hupelekea sasa uchafu mweupe kutoka ukeni unaoambatana na harufu.Nmejaribu kuzungumzia kulingana na nlivyosoma kidogo kuhsu PID. UGONJWA unatibika muwahishe hospital afanyiwe vipimo atapona inshaallah
Wala sio fungus ni uchafu hajui kujisafisha wanawake wengi hawajui kusafisha nyuchi zao


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MKANDAHARI

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
2,990
Points
2,000
MKANDAHARI

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
2,990 2,000
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
tupiamo hata tupicha mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,325,297
Members 509,060
Posts 32,188,016
Top