Uchafu mweupe wakati wa kugegedana

mkuyati og

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Messages
806
Points
500
mkuyati og

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2011
806 500
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
No cause for concern young man, kwani anapata maumivu au muwasho? Wewe je unapata muwasho?
Hizo ni secretions tu zinazotokana na yeye kuwa stimulated,, nothing more. Usitafute mchawi, naona watu wanakupoteza humu. Tofautisha when a woman is having a fungal infection (muwasho, maumivu, kutoa uchafu constantly),, and when a woman is simply "creamy". Za kuambiwa changanya na zako
 
N

Ndondobwila

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Messages
501
Points
500
N

Ndondobwila

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2015
501 500
No cause for concern young man, kwani anapata maumivu au muwasho? Wewe je unapata muwasho?
Hizo ni secretions tu zinazotokana na yeye kuwa stimulated,, nothing more. Usitafute mchawi, naona watu wanakupoteza humu. Tofautisha when a woman is having a fungal infection (muwasho, maumivu, kutoa uchafu constantly),, and when a woman is simply "creamy". Za kuambiwa changanya na zako
Quite agree with you! Na pia huenda anatumia contraceptive tofauti na huko nyuma
 
Illuminata Rodgers

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
2,375
Points
2,000
Illuminata Rodgers

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
2,375 2,000
Mkuu hiyo ni fungus infection,mwenyewe shakua na tatizo hilo nlipoenda hospital nlipimwa kipimo cha hvs ambacho huingizwa ndani ya uke na kutoa uchafu huo ambao huchukuliwa kwa ajili ya kipimo na baada ya kipimo hicho nikagundulika kuwa na fungus infection pamoja na bacteria ambapo nilipewa dawa za kumeza pia nikaandikiwa na sindano tatu za powercef tangu hapo nikawa fresh..kwa hiyo mkuu wala usipunguze upendo kwa mkeo kikubwa muwaishe hospital sababu huo ni ugonjwa na unatibika wahi mkuu kabla tatizo halijakomaa zaid kuwa sugu.
 
N

nyamnini

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
2,731
Points
2,000
N

nyamnini

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
2,731 2,000
Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.

Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.

Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.

Bios-f2. Hahah
Kuna dalii ya ukweli hapa.
 
Mu-sir

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
3,638
Points
1,500
Mu-sir

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
3,638 1,500
No cause for concern young man, kwani anapata maumivu au muwasho? Wewe je unapata muwasho?
Hizo ni secretions tu zinazotokana na yeye kuwa stimulated,, nothing more. Usitafute mchawi, naona watu wanakupoteza humu. Tofautisha when a woman is having a fungal infection (muwasho, maumivu, kutoa uchafu constantly),, and when a woman is simply "creamy". Za kuambiwa changanya na zako
Nilimaanisha hili mkuu ila wamenishambulia mno.... Kama hakuna muwasho wowote na inatokea wakati wa Tendo is it always fungi??? ANGALIZO..mimi sio mtaalam wa afya
 
Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
513
Points
225
Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
513 225
Mimi sio mtaalam wa afya mkuu sina nia ya kupotosha na nilimaanisha Mucus na siyo uchafu mwingineo
Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.

Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.

Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.

Bios-f2. Hahah
Vaginal Infection

The worst kind of infections to afflict a woman must be vaginal infections. They are annoying, painful and terrible to suffer from.

As if that is not enough, the woman undergoes so much embarrassment and awkwardness when it comes to explaining why she is feeling so upset and uncomfortable. No one seems to understand. It is considered a taboo.

All the women and even the men reading this have to understand that vaginal infections do happen. It is normal. One in three women has suffered from this infection before!

It has got nothing to be ashamed of! Vaginal infections can happen to every sort of woman from a virgin to one with multiple sex partners to a faithful wife to a nun. Anyone can suffer from it as long as you have a vagina!

What causes Vaginal infections

[http://www]These infections are caused by a variety of reasons. The inherent basic cause of the infection is the multiplication of micro organisms in the vicinity of the vagina.

At times, it may be a bacterial growth and others it may a fungal infection. Most of the times, the symptoms for most of the vaginal infections are the same. The cause of the overgrowth of the micro organisms can be just about anything.

The infection will occur as long as the conditions are hot, humid and moist as well as not properly cleaned.

However this does not mean that women who practice the process of rouging do not get infections. The truth is that rouging can actually cause infections by the introduction of bacteria or fungus from the pipe used to the vaginal wall.

As you can now understand, almost anyone and everyone is susceptible to this condition. But the next step is getting the cure done.

Symptoms for vaginal infections usually start off with fever. Vomiting, diarrhea, dizziness, chills and rashes are bound to follow. The woman would have difficulty passing urine and would experience a burning sensation.

It is important to address the issue at the earliest before anything gets out of hand.

There is a form of medicine called Yeastrol which would completely sooth your infection as well as remove it for good.

The major problem with vaginal infections is that they are recurring in nature. The bacteria or fungus never fully leave your vaginal walls and the outbreaks will occur time and again.

This is why Yeastrol is ideal. It removes the infection from the very root of the problem. And if you are concerned about what it is made out of, then you need not worry as it is a completely natural formula and can give you results minus any side effects.
 
Kwani mke wake anapata maumivu/muwasho au ana homa??? labda tusubiri aje atujib
 
Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
513
Points
225
Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
513 225
Kuna dawa inaitwa yeastrol , kwa treatment, lazima atakuwa na maumivu, pengine huyu mtu anajua ni raha
 
MENISON

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
593
Points
250
MENISON

MENISON

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2013
593 250
nimemuai
Mbona wanaume wa siku hizi mmekosa haya hivyo?
Huyo ni mkeo lakini unakuja kuanika aibu zake hapa kweli jamani?
Yani umemuona na hali hiyo kwann usimpeleke hospitali unakuja kuomba ushauri humu ili iweje,
Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini si haya,

Ulishakaa nae chini ukamwambia?
Alishawahi kulalamika unamuumiza?
Akifika kileleni hua anatokwa nini?

Zungumza na mwenzio kwanza achana na mambo ya vijiweni,
Eti UPENDO UNAPUNGUA,
Hovyooooo!!
bisha wewe unamfahamu? au ni wewe?
 
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,502
Points
2,000
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,502 2,000

Yaani mimi nimeshangaa sana,upendo unapungua kwa kitu kidg hivyo na anakuja kumwanika mwenzie hapa
Si amuulize kwanza mkewe
Eeeh ndoa hizi.....
 
kinyoba

kinyoba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Messages
1,270
Points
1,250
kinyoba

kinyoba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2011
1,270 1,250
Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.

Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.

Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.

Bios-f2. Hahah
sawa dokta. ila kwanini huo uchafu utoke wakati wa kugegedana? kwa maelezo yako hiyo whitish materials unayosema ingepaswa itoke wakati wote
 
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,502
Points
2,000
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,502 2,000
sasa si hajulikani hata mm sijulikani
Haya ngoja wataalam watakujibu,lakini sio sahihi ukipatwa na jambo fika hospitali.... Kwani mkeo anawashwa au kutoa harufu...
 
demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
5,124
Points
2,000
demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
5,124 2,000
The creamy stuff you are talking about is very normal.

Almost every girl I have been with has had that. It is actually a turn on for me and most other guys. I am actually turned off when i don't see that white creamy stuff during sex.

Mature and experienced guys know that its essential for the lady to be able to lubricate herself well during sex.
 
Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
513
Points
225
Miunda

Miunda

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
513 225
hana homa ila sometime ana muwasho
Inawezekana ndio mwanzo wa infection, atakuwa na vipele ndani kwa ndani ndio vinavyo mpa muwasho. Ni vizuri na fanya haraka sana kumuona doctor, kwa sasa usifanye nae tendo unaweza kuzidisha zaidi, wala usiwe na wasiwasi ni ubinadamu wa kawaida.
 
Forum statistics

Threads 1,335,420
Members 512,320
Posts 32,505,204
Top