Uchafu ma manispaa ndivyo na mabosi wao wanavyoishi majumbani mwao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchafu ma manispaa ndivyo na mabosi wao wanavyoishi majumbani mwao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jun 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua uchafu wa manispaa unatokea wapai nenda kwenye nyumba za wakurugenzi namabosi wao\
  ni kinyaa sasa ukitaka kujua wanavyofurahia uchafu nenda kawe shuka kituo cha mayfair
  ruka upande wa pili utaona gari la manispaa wamejaza uchafu mpaka juu sasa wameanza kuusambaza
  na watoto wanaenda kuchezea pale..nahisi ni wakati jamani umefika tukue hata ukila asilimia kumi kumbuka ya kesho

  hivi mkurugenz wa manispaa na meya wa kinondon mmeoa??nahisi mko bachela ndio maana usafi kwenu sawa na vita ya libya anyway nisifike uko mkakimbilia milupo mkaja kujuta didy aliwalazimisha

  ok naomben ule uchafu wwa kawe jamani muutoe hata kama mmeshakula msione haya kuja kutuchangisha
   
Loading...