Uchafu kwenye soda za CocaCola

Basi pepsi kwa huku kaskazini wamefeli, kwanza soda coke ya kaskazini ina ladha sio kitoto, maji hayana chumvi chumvi ni matamu balaa, ni kama yalivyo tu maji ya Kilimanjaro yalivyo na taste
Kabisa mkuu nilivyokua kusini nilikua sipendi coke kabisa ila now nipo kaskazini nilijaribu kunywa coke now nimekua mteja wao
 
mim masoda niliyaacha muda sana.hio koka huu mwaka wa 6 au 7 ukiniukiza lin nimeknuywa sijui
 
Donoghue versus Stevensons
Google iyo case then isome kisha utajua cha kufanya kuhusiana na uchafu kwenye iyo soda.
 
Back
Top Bottom