Uchafu kutoka ndani ya uume

Lazima huyo mwanamke awe aliambukizwa ili au kuna mazingira anaweza kupata bila kushiriki ngono?
 
Habari wakuu,

Tangu jana asubuhi nilipodamka nikajaribu kunyima kichwa cha uume kidogo nikaona uchafu mweupe mithili ya maziwa unatoka,pia nikienda kukojoa mwishoni nahisi maumivu makali sana. Na muda mwingine nikikaa nahisi kama nachomwa na kitu ndani ya uume, sijajua tatizo ni nini haswa mpaka sasa.

Msaada tafadhali itakuwa ni dalil ya nini hii?
Huo ni ugonjwa wa kisonono, nenda hosp haraka
 
Back
Top Bottom