getrude furahia
Member
- Nov 26, 2014
- 31
- 1
Habari za jion bandugu
Kwanza nashukru kuniunganisha hapa, mie ndo kwanza naanza, kwahiyo km kutakuwa na makosa yoyote tusameheane.
jaman nataka kueleweshwa kwa walio na ufahamu juu ya hizi sindano za uzazi wa mpango (depo)
Hivi ukichoma sindano hizi kuna uwezekano wa kutokwa na uchafu mzito rangi km ya damu au brown na mwingine?
pia kuna uwezekano wa kutopata hedhi maana hili swala linanipa wasiwasi sana maana ndo mara ya kwanza.
Nahitaji msaada wenu juu ya hili
Natanguliza shukrani zangu