pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
Juzi kamati kuu ya Chadema na Baraza kuu wamekutana Mwanza kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Katibu mkuu wa chama, Cha kushangaza sasa mchakato mzima umepita na katibu mkuu kapatikana bila ya uwepo wa waziri mkuu wa zamani Mhe. Fredrick Sumaye . . .
Yani shughuli kubwa kiasi hicho ya chama ambayo inahitaji uwepo wa watu muhimu kwenye chama ila Sumaye hakutokea, Au Sumaye hana umuhimu kwenye chama???. Ikumbukwe Sumaye ni mwanachama halali wa chadema tangu Des 13, 2015 na pia alikuwa kiongoz wa kampeni za ukawa 2015 . . .
Kumbukumbu zangu zinanionesha Sumaye alikuwa mshiriki mzuri wa shughuli za Chama akiwa CCM, hasa shughuli muhimu kama hii ya uteuzi wa viongozi wakubwa wa chama . . .
Swali langu ni je Sumaye kalazimishwa kujiunga na Chadema?? Na ni nani amemlazimisha na kamlazimisha kwa Gharama gani??? Swali ni jingine au Sumaye hana Umuhimu Chadema ????