Tetesi: Ubuyu Exclusive; Tunda Sabasita abeba mimba ya diamond platnumz

Dai noma sana mngejua hadi Wema sepetu alimpiga mimba ikachomoka mwezi wa sita this year sijui mngesemaje?
Najua mngesema wema kalogwa
heeeee bestito ya kweli haya unayotype hapa lete ubuyu basi weka uziiiii weraaaaaaaweraaaaaaaaaaa
 
Nasikia Ommy Dimpo nae anamimba ya King. Hawa SHILAWADU hawana adabu kabisa!
 
Ahhahaaa...Mkuu unazidi kumpa Big up mchizi aeneleze libeneke.....il poa sana Osha Ruungu Mondi si wanajipeleka wenyewe?

ona wanavyojipeleka wenyewe kwa Simba!!

Diamond msichana.png
Diamond msichana.png
 
Diamond anajitia uwakimataifa ila bado anakula mademu wachafuwachafu,kidemu kimejaa mikorogo kimekuq kama ubuyu..madema matawi hawaoni ama!?bora kidogo hata na diamond kina ndo doooh..
Mademu wa kimataida gharama anakwepa gharama anataka Hawa wakujipeleka wenyewe
 
Jamaa ana mpango wa kuanzisha shule nini? Huo uzao kila kukicha unatisha. Mtaji kwa mabinti, endeleeni kudai matuzo.
 
Back
Top Bottom