Tetesi: Ubuyu Exclusive; Tunda Sabasita abeba mimba ya diamond platnumz

948b0ca1913a8eee35fda55a7462a2dc.jpg
af6356390859d8c53e39385915a1ac18.jpg

Eats like
 
Lililo wazi ni kwamba Tunda ni mzuri, tena sana!

Kosa kubwa ambalo wazazi wake walifanya ni kumuacha anakuwa exposed kwenye tasnia ya burudani wakati akiwa bado mdogo sana! Zamani sana, wakati naanza kummezea mate lakini nikipiga mahesabu ya miaka ya mbele (eti atakapokuwa matured), mara nikasikia King na Ngasa tayari wameshapita!!!

NIKACHOKA!!!
 
Angalau huyu ni mimba ya kwanza .mobeto ana watoto wawili na yule mwingine ana timu.SIMBA ENDELEA HII NI NCHI YA VIWANDA
Ahhahaaa...Mkuu unazidi kumpa Big up mchizi aeneleze libeneke.....il poa sana Osha Ruungu Mondi si wanajipeleka wenyewe?
 
Mond anakula raha sana!!.. Utafikiri Dar nzima mwanaume ni yeye tu!!.. Vitu vizuri havifanyii ujinga...anatembeza mkia tu!!...hahahhaaa!!

Kila ikifika 2030, koo nyingi zitakuwa ni za Naseeb Abdul... Hahahhaa
 
hela bana!
YANI KUTOKA KUITWA DOMO ,LEO LIPS DENDA!
KUTOKA KUAMBIWA HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE MIMBA,LEO KILA MIMBA YAKE!
zote hizo ni hela tu wala sio kitu kingine!
MANA Naseeb bado yule yule!
domo liko vile vile!
 
Back
Top Bottom