Tetesi: Ubuyu Exclusive; Tunda Sabasita abeba mimba ya diamond platnumz

Hance rusha picha yake nzima nimuone mzima mzima ikiwezekana awe amegeukia nyuma
Screenshot_2017-11-05-01-09-06.jpg
huyu hapa kageuka nyuma
 
Huu ubuyu si mzuri kwa Afya ya baadhi ya with

Km ni kweli,naomba nianze kumuwaza maa tee kwa sauti
 
nikikumbuka baba wa haka kabinti alivyokuwa mnoko CCP nikiwa depo yeye akiwa mkufunzi pale sipati picha

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Mkuu nami nishirikiane nawe kushangaa!! Yaani Sabasita wa Arusha, then CCP, then Morogoro mpaka akatuhumiwa na Mwakyembe kutaka kumuua!! Ukali na unoko wote ule ndo kazaa na kushindwa kutoa malezi sahihi kiasi hiki?? Ama kweli Sungura kazaa Kicheche!!
 
Back
Top Bottom