Je, kama unatumia Ubuntu na Windows, na ukitaka kuitoa Ubuntu bila kutoa Windows inakuwaje?Yah ni nzuri.Kama ukiwa mpenzi wa IT.Kuhusu compartibility yake na ms application, kuna software una install inaitwa wine, na inaweza run baadhi ya windows software ukiwa ndani ya ubuntu.
Hii ni open source and free, kwa hiyo wadudu huku hawatusumbui kabisa. Try it along with us windows os and see.
Hello members! Tafadhali naomba kama kuna mtu ana uzoefu na OS ya UBUNTU. Je ni compatible na other MS applications? Nimesikia hii OS haiingizi VIRUS. Naomba elimu kwenye hili plz
Je, kama unatumia Ubuntu na Windows, na ukitaka kuitoa Ubuntu bila kutoa Windows inakuwaje?
Hello members! Tafadhali naomba kama kuna mtu ana uzoefu na OS ya UBUNTU. Je ni compatible na other MS applications? Nimesikia hii OS haiingizi VIRUS. Naomba elimu kwenye hili plz
Je, kama unatumia Ubuntu na Windows, na ukitaka kuitoa Ubuntu bila kutoa Windows inakuwaje?
Ubuntu unaweza ukaiinstall kama program ndani ya Windows.
Yaani hauhitaji kufanya partition wala kitu chochote. Ukitaka kuitoa unatumia Unisntall kama program nyingine yoyote. Hii ni option nzuri kama hutaki kudeal na mambo ya partitions nja unataka kubaki na Windows.
Sikubaliani na huu Ushauri wako mimi niliwahi kufanya kama ulivyosema kuweka Ubuntu pamoja na Windows pamoja kwenye Hard Diski moja na kuitumia Ubuntu na Windos Xp Pampja hapo Ubuntu iliharibika yaani kwa kiingereza (corrupt ubuntu) na nikajaribu kuifunguwa Ubuntu OS haifunguki na nimeweka kwenye dual boot iwe inasoma ubuntu ya kwanza kufunguka ni hiyo Ubuntu haijafunguka nikjaribu kuifunguwa Windows haikufunguka mpaka kwanza niweze kubadilisha Ubuntu iwe inasoma kwanza Windows kwenye dual boot ndio itaweza kufunguka niliwahi kufanya hivyo nikajaribu kuifunguwa Ubuntu haikufunguka na nikajaribu kuifunguwa pia Windows XP pia haikufunguka ikabidi nitumie CD ya Windows Xp kuiripea Windows ndipo ilipofunguka Windows Xp .Kwa ushauri wangu lazima uwe na Hard Diksi mbili japo moja ya Windows XP OS na ya pili japo iwe ndogo ya Ubuntu OS itakuwa rahisi hata kama hiyo Ubuntu ikiharibika itakuwa rahisi kuiondowa hata kama kwa ku Format hiyo Local Hard Diski ya Ubuntu huo ndio ushauri wangu Mkuu Kang unajitahidi lakini hapa ume feli Asante.