Ubuntu Installation Problem-help?

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,708
2,000
Nimehangaika sana kuresolve hii inshu, help plse

Dell Studio 1536
64 bit-ingawa naistall linux 32 bit
Ubuntu 10.10 Ultimate Edition(UE), napata hii message

BusyBox v1.10.2 (Ubuntu 1:1.10.2-1ubuntu7) built-in shell (ash)
Enter 'help' for a list of built-in commands.

(initramfs)


Sasa hapa nifanyaje wakuu...nimestack for a week now...kama ni compability issue, nitaisolve vp??au ni hardware issue??
Plz Help
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
0
download official version toka ubuntu.com
hizo version za 'mtaani' ni pasua kichwa!
Usitumie 32-bit ktk 64 and vice versa!
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,554
2,000
mkuu ushasema system ni 64 sasa inakuaje unaweka 32...?? hata pc yenyewe utakuwa unaionea huoni? tafuta ubuntu ya 64 bit toka kwenye site yao itasovle ishu...la sivyo utakesha hapo na hata ikikubali utalia kwa manyanyaso ya shida zitakazokuwa zinakupata!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom