MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Amani hii tunayoiona zanzibar ni matokeo ya ubunifu, busara na hekima za hali ya juu kati ya viongozi mbalimbali wa zanzibar mpaka kufikia muafaka na kuundwa kwa Serikali ya mseto, nawaomba viongozi wa sasa wadumishe amani hiyo, huo ndiyo ujumbe wa leo