ubunifu wa hali ya juu,african watengeneza gari iliyotengenezwa kwa makuti,wametisha...

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
896985_Ibadan-20121127-00683_-_Copy_jpg5a6dc446544ee3667584b783a47d336c.jpeg 896986_Ibadan-20121127-00684_-_Copy_jpg3c515bab32b2e300e2a18c8a19674768.jpeg 896988_Ibadan-20121127-00688_-_Copy_jpg6dc78f14b068c4dc97f42c8a548b5a67.jpeg 896987_Ibadan-20121127-00687_-_Copy_jpg867dc3808c6466a1196d5bf8796a0d5f.jpeg
 
halfafu injini yake imetengenezwa kwa nini!!au gari maana yake hilo bodi!
 
Gud excellent,wapo wapi hao?tuna kila hali ya kuanzisha taasisi special for research
 
mkuu tumia akili kidogo injini itabak kama injini kama ulivyoona tairi,au ulitaka na tairi liwe la makuti!!!
nini maana ya kusema afrika wametengeneza gari!!kwako gari ni hilo bodi tu!!sema wametengeneza bodi siyo gari!!!nikikupatia bodi la bito tangu utasema nimekupa gari!!
 
nini maana ya kusema afrika wametengeneza gari!!kwako gari ni hilo bodi tu!!sema wametengeneza bodi siyo gari!!!nikikupatia bodi la bito tangu utasema nimekupa gari!!

gari aliwez itwa gari kama halina bodi,injini,kwa ufup kama alitembei kutokana na upungufu,lakin ayo ni magari kwa sababu yanatembea vizuri,wametengeza kila kitu kuanzia,bodi adi injini na gari imetembea wanachoitaj ni sapoti yako wewe na mimi waweze fika mbali,wala siyo shutuma
 
kwa dunia ya sa hivi??? ni ubunifu wa kijinga na ki uongo uongo maana hao wamebuni bodi la gari sio gari, af halina msaada wowote labda kwa mbaali yatumike kama fahari ya macho tu,,,

its a dislocation of resources!!
 
mkuu waliobun hivo ni masikin na wanatokea sehemu masikin sana wamekosa kuweka bodi unalotaka wewe,lakin huo ndio mwanzo,wanaitaj sapot yako wewe wasonge mbele
 
Back
Top Bottom