Ubunifu ndani ya bunge unaweza kuleta ajira na kujenga uzalendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunifu ndani ya bunge unaweza kuleta ajira na kujenga uzalendo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Zing, Jul 21, 2009.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Spika na wabunge wanaweza kuwa mfano katika kutengeneza, kuchochea ajira, kazi na ubunifu ndani ya tanzania

  Sasa kama changamoto badala ya kuvaa suti tu bungeni ambazo nyingi zimetengenezwa majuu. kwa nini spika asifanye siku angalau moja iwe ya kuvaa vazi la vitenge kwa wabunge wanaume na wanawake.

  Naamini kwa sheria hii kuna ajira zitaongezeka, ubunifu , na tutakuza uzalendo pia. Zaidi ya hapo wabunge watakuwa mafano wa kuwafanya wanachi wapende bidhaa zilizotengenzwa nyumbani. Na hata kama mavazi haya ya vitenge hayatakuwa ya tanzania basi yatakuw ya afrika.

  Nawasilisha
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  nafikiri ni wazo zuri na katika kuboresha hilo tunaweza pia tukabuni vazi la taifa ambalo litatokana na bidhaa zetu za hapa hapa bongo na wajasiriamali wakanaufaika wabunge wana uwezo sana.
   
Loading...