Ubunifu: Bongo Instagram - App inayofanya kazi kama Instagram

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Bongo Instagram asee mazee kuna watu wako fiti
they sat down and come up with this good app
inafanya kazi kama instagram asee support mazee

Mkuu kuna hizi sijui ushawahi zisikia
1) Flipagram
2)Telegram
Je hao nao wamecopy? Au mbongo akitumia ndo kakopy?

-gram 1 |gram|combining formin nouns denoting something written or recorded (especially in a certain way):cryptogram | heliogram.

hiyo ni kutoka kamusi ya Kiingereza, hiyo Flipagram ni jina la product, neno 'GRAM' linawakilisha ujumbe wa sauti au maandishi, kama isemavyo dictionary hapo juu, hiyo

Hawa wabongo wangeita ya kwao Bongogram ingekuwa sawa, lakini sio Bongo 'Instagram' bana, huku ndo tunaita kukopi mpaka jina kwenye mtihani, Instagram ni jina la watu. nadhnai walimaanisha instant-gram as in 'instant message'

Neno gram ni generic kulitumia sio issue.
 
2af03bbe85e052aa4fe147dde77a684a.jpg

Mkuu tusiwe tunaongea kabla ya kujua tunazungumzia nn. Soma article vizur alafu ndo ucomment. Watu tunakosoa kumbe ss wenyewe tunatakiwa kukosolewa zaid
 
By the way nimeangalia video, haiitwi Bongo Instagram inaitwa Bongogram, mleta mada umepotosha nina, nafuta kauli yangu ya kukopi jina, anyway the video presentation is good ikiwa ninpamoja na sauti ya msemaji, bigup
 
Bongo Instagram asee mazee kuna watu wako fiti
they sat down and come up with this good app
inafanya kazi kama instagram asee support mazee

Ujumbe wako huu hapo juu, umeandika nini hapo kwenye red, mtu ambaye hatafungua video yako atabaki kujua ni `bongo Instagram', usipokubali kukosolewa hutaelimika
 
Sijapotosha mada mkuu. Hujafika unakoenda unaanza kusema ni pabaya kwa sababu barabara ya kwenda haina lami.
Nimesema bongo instagram due to this is ment to work like instagram. Na sijasema kwamba thats the name of the app. Futher more, ningepotosha uma kama ningeishia hapo, ila nilieka video. Kwa io sema watu wasiopenda kulitambua jambo kwa kina ndo wanajipotosha wenyewe..
 
haya bwana
 
Back
Top Bottom