Ubungo stand ya zamani panajengwa nini?

Joeseoc

Member
Sep 11, 2018
65
93
Habari wana JF?

Kama tittle inavyojieleza, leo nimeonelea nije kuuliza wana JF kuhusu Ubungo stendi ya mkoa zamani ili nijuzwe.

Baada ya stand kuu ya mabasi Ubungo kuhamia Mbezi, majengo na mabanda pale Ubungo stendi ya zamani yalivunjwa na kuondoshwa na kuna ujenzi naona unaendelea pale, na sasa kunajengwa kama uzio hivi.

Swali langu ni je, ni nini kinajengwa pale? achilia mbali kituo kinachoonekana kama cha mabasi ya mwendo-kasi pembeni, ambacho hicho niliona kilikuwa kikijengwa toka awali hata kabla ya stand kuhama rasmi.

Nawasilisha.
 
Hapa
FB_IMG_1617537320546.jpg
FB_IMG_1617537316375.jpg
 
Nilipita juzi kuna mtu akaniambia shopping malls na ofisi za makampuni ( kama mlimani siti vile) bado sijathibitisha
 
Hapo panajengwa shopping mall ya kimataifa hasa bidhaa kutoka China zitakuwa zinaagiziwa hapo. Ukienda hapo ubungo plaza Kuna mchoro WA mjengo. Na nyuma ya hilo eneo unaona fance Tayari hilo eneo litakuwa yard ya mabasi ya mwendo kasi liko ktk hatua za mwisho kuanza kutumia
 
Back
Top Bottom