Elections 2010 Ubungo: Hujuma za wazi dhidi ya Mnyika!

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
270
126
Habari toka jimboni Ubungo zinasema kwamba Fomu namba 13C hazijatumwa kata zote za Ubungo. Pia wasimamizi wengi hawahesabu kura kwa kusingizia Fomu namba 16 hazipo. Hata hivo fomu hizo ni kwa ajili ya shahada za Utumishi wa Umma.
 
Ehee, wanataka usiku uingie ile wakate umeme? Si wahesabu ili hizo form zikija wamalizie kujaza?
 
Chonde chonde Mnyika wai kununua karabai au rechargeable na kuzisambaza kata zote
 
Hapa sijaelewa kitu; Mnyika kaa macho sana yasije kutokea aliyotufanyia Keenja maana kushinda tayari umeshashinda
 
Hapa ndio pa kuweka inputs zote kwa yeyote anayeweza kusaidia ili makwarukwaru yasiingizwe!
Mnyika ni kiungo wa muhimu sana pale MJENGONI jamani....alindwe kwa gharama zote!
 
Back
Top Bottom