Ubungo bus terminal...

D 007

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
206
147
fastjet.jpg full kubanana..
 
Vp wadau mliopanda hii kitu,32000/-plus kodi ya mkwe..re ni bei gani mpaka Kia?
 
Kweli kama hawa jamaa hawatabadilika basi Watanzania tutanufaika mno na usafiri huu!
 
now imefika 199000 ROUNDTRIP FRM KIA - dar - KIA ..
last was 134000 for same roundtrip ....
 

waTZ bana tuna laana!! Babu yetu Nyerere aliharibu ubongo wetu, tumezaliwa, kukua na sasa tunazeeka tukiamini kuna baadhi ya vitu wazungu tu ndo wanatakiwa wawe navyo/watumie!!!

Yaani mmeanza kuwabeza hao jmaaa waliowaletea "low cost airline services" nyie mnaanza kufananisha na mambo yenu mloyazoea!! Duh...
 
Kuna watu wakiona hivi wanaumia sana

Kwa mtazamo huu, trust me kuna watu wana vijiba kwa wananchi kuweza kukanyaga airport kama wasafieri na si kama zamani, ilikuwa siku ya sikukuu, kama vile Iddi, unakuta airport imejazana watu wamekuja kutembea waone "mandege"!!!

Haya mambo ya lina Osma ndo yatakuwa yamewaharibia starehe, maana zamani walikuwa wanaruhusu watu wapande kule juu ktk observations kuona hayo mandege!!!
 
Jamani isije ikafikia ikawa kama zile ndege za Kongo ambazo abiria wengine husimama na mikungu ya ndizi na mbuzi kwenye ndege ,hizo ndege balaa aheri hata ya daladala ziendazo Makongorosi(Chunya),mnapokuwa kwenye hizo ndege kila mtu anamuomba Mungu wake
 
Kuna watu wakiona hivi wanaumia sana

Kweli mzee si wanataka wapande wao tu, kwa iyo wakituona na sisi roho inauma, hii inanikumbusha pale udsm kuna prof mmoja anaitwa ngware, anajisifia huyo balaa, akawa anatuambia kwa dharau na nyinyi eti na viboom vyetu mnatujazia tu foleni kwenye ATM si mpewe tu cash. Kwa iyo ilimuuma kusimama mstari mmoja na dent wake kuchukua fedha
 
Back
Top Bottom