Uchaguzi 2020 Ubunge wa Rombo: Ni mpambano kati ya Joseph Selasini dhidi ya Godlisten Malisa

Wanadhani Kilimanjaro ni sawa na Dodoma
Nyie mnafikiri siasa za Kilimanjaro ni kama za kwingineko? Watu hawadanganyiki kirahisi na ccm kama kwingine na watu kule wanabadilisha vyama watakavyo.
 
Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.
Umeongea point kubwa sana.
 
Itakuwa ngumu sana.. kwa kweli.

Option hapo ni either Moshi Mjini au Moshi Vijijini maana ndo yanamuingiliano na old moshi na Uru. Ila nje ya hapo hawezi, tena kwa warombo mhhh

Kule selasini itabidi apambane na mrombo mwenzake, wapo wengi tu wenye sifa.
Tanazania yote yetu hata mngoni akiamua kugombea umasaini,chambiri mkurya aligombea babati mjini akashinda akamuangusha mzawa kabisa paulina gwekul wa chadema,mbunge wa babati vijini ni mhindi anaitwa jitu vrajival soni
 
Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.
Chadema walichukua mitaa mingapi uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Ameonyesha udhaifu sana na ameaibisha Warombo wote.
Mwanzo waombo walituhumiwa kutokuwa na nguvu za uume mpaka wake zao wakawa wanakwenda holili kuchapwa na wakenya-wataita, wakaacha pombe wakala vyakula vyenye virutubisho kama wamarangu nguvu zkarudi , sasa huyu 30 kaja tena kuwaaibisha , eti anahama chama kwa kuvuliwa kwenye grupu la WASAPU!
Hebu tuachane na Selasini, kwenye siasa kwa sasa Selasini ni maji ya jioni
 
Back
Top Bottom