Ubunge v/maalum usiwe ujumbe wa kudumu Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunge v/maalum usiwe ujumbe wa kudumu Bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Penguine, Dec 16, 2009.

 1. P

  Penguine JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2009
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Naipenda hoja/wazo la mhe. sophia simba kwamba ubunge viti maalum isiwe ujumbe wa kudumu wa mbunge mwanamke bungeni bali iwe uwanja wa majaribio kama siyo mazoezi wa akina mama kupasha kwa ajili ya kupambana kutwaa majimbo. lakini pia endapo tutachukulia ubunge viti maalumu kama strategy ya kuwainua akina mama basi asiinuliwe mama mmoja tu kwa miaka yote kama ambavyo baadhi ya wabunge wa viti maalum wanavyotaka kung'ang'ania kubaki wao tu.

  Ving'ang'anizi wa aiana hiyo siwatofautishi sana na Rais Mugabe kung'ang'ania kukaa madarakani. SIJUI WADAU MNASEMAJE?
   
Loading...