Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Mahali kwa kuwaangalia CCM ni hizo kata za vijijini. Itakuwa ngumu sana CCM kushinda Tarime mjini, ila huko vijijini kwa wakulima ndiko wanakochota kura zao.

Mimi naamini CHADEMA wameshinda udiwani, kwenye ubunge huko ndiko kutakuwa na mapambano.
 
..msekwa ni msomi zaidi ya mwanasiasa...ni mzuri sana kwenye warsha na mijadala ya kisomi,hajui lugha ya mwananchi wa kawaida.....not a politician!!

makamba ni msanii au mchekeshaji zaidi kuliiko mwanasiasa....angefaa zaidi kwenye idara ya propaganda na uenezi..kuliko ukatibu mkuu....ambao unahitaji mtu makini......msekwa angefaa ukatibu mkuu zaidi ya makamba...na afteral wakati wa mwalimu alifanya kazi ya KATIBU MTENDAJI ..TANU na baadaye CCM vizuri tu!

Pamoja na yote hayo, cadre yake karibu yote imeng'atuka kwenye siasa, yeye anan'gan'gania kwenye siasa. Kwa nini? what more does he want, amekuwa na muda mrefu sana kwenye chama na serikali lakini mchango wake unaousema mimi siuoni. Ukitaka umuulize Shivji na akuoneshe memo za JKN kwenda kwa Msekwa na mambo aliyofanya Msekwa kuibananga katiba yetu, mpaka sasa imekuwa inalalamikiwa kila siku. \mi naona la muhimu ni kuwa apumzike tu.
Matokeo yakija infavour of upinzani, jaribu kusikia atakachosema ndio ujue kuwa yeye ni nani, au kumbuka kauli zake kuhusu katika, au watoto wa vigogo BOT ndio utajua sasa akili yake ikoje, anatakiwa kupumzika. Kuna vijana wengi sasa hivi wana elimu, wanaoweza kufanya kazi na wana uwezo pia
 
Mahali kwa kuwaangalia CCM ni hizo kata za vijijini. Itakuwa ngumu sana CCM kushinda Tarime mjini, ila huko vijijini kwa wakulima ndiko wanakochota kura zao.

Mimi naamini CHADEMA wameshinda udiwani, kwenye ubunge huko ndiko kutakuwa na mapambano.

Vijijini huwa hawashindi ila opportunity ya kuiba kura ni kubwa sana,na kukubali CCM wafanye mavitu yao.
 
Mahali kwa kuwaangalia CCM ni hizo kata za vijijini. Itakuwa ngumu sana CCM kushinda Tarime mjini, ila huko vijijini kwa wakulima ndiko wanakochota kura zao.

Mimi naamini CHADEMA wameshinda udiwani, kwenye ubunge huko ndiko kutakuwa na mapambano.

Vijijini huwa hawashindi ila opportunity ya kuiba kura ni kubwa sana kwani inakuwa vigumu kwa wapinzani kupeleka watu makini vijijini kulinda kura, matokeo yake wanakatiwa mshiko na kukubali CCM wafanye mavitu yao.
 
Kuna habari za chama cha mafisadi kushinda kiti cha udiwani cha uru mashariki huko moshi kwa margin ya kura 300 tu! Inasemekana kuwa wizi na faulu nyingi zimewaibua kidedea mafisadi

Tunaomba chanzo mkuu. Usisingizie wenzako bure kwa ajili ya kufanikisha maslahi yako.
 
na akaendelea kudai eti mvua imenyesha, na kuwa magari yenye masanduku ya kura yamekwama sehemu mbalimbali, wanashauriana na kamanda Tossi namna ya kunasua hayo magari yenye masanduku ya kura! MNAONA MSETO HUO?

Wagombea walijirusha na Helkopta sasa kura zinaletwa kwa miguu. Wasije wakalalamika zikichelewa maana wangezitumia hizo barabara sio ajabu wangeshauri Helikopta zitumike kukusanya masanduku ya 'kula'.
 
Hapo pagumu helikopta ya nani itaaminiwa.....manake watu wanaweza kubishania hata helikopta ipi ya kutumia. Lakini si wazo baya polisi wenyewe si wanazo hizo helikopta zingeweza kutumika .....kama tungekuwa tumejiandaa kwa hilo.
 
Tutajiandaa vipi wakati waliotakiwa kutoa maamuzi, ushauri, malalamiko n.k., walizikimbia hizo barabara za walalahoi?

Vibosile wote wa vyama vikuu, CCM na CHADEMA wanaosema kuwa wanatetea maslahi ya wananchi walizikimbia barabara za Tarime. Tulipoonya hapa mtandaoni ikawa nongwa. Sasa ngoja wana Tarime waendelee kukiona cha moto maana hata waliomo humu mtandaoni hawakutaka kulisikia hili kwa vile vyama vyao ndio vyenye hizo kopta.
 
Kuna habari za chama cha mafisadi kushinda kiti cha udiwani cha uru mashariki huko moshi kwa margin ya kura 300 tu! Inasemekana kuwa wizi na faulu nyingi zimewaibua kidedea mafisadi

Halafu nikuongezee point fulani kuhusu wachaga wa Uru, nimekaa Moshi muda mrefu pia nazijua kabila zote zinazoitwa "wachaga" kwa undani. Wauru, licha ya kuwa na wasomi wengi miongoni mwao, lakini tatizo lao wako very unpredictable! Huwezi kujua uamuzi wake hadi saa itakapofika ya kuamua. Sijui ni woga au ni nini? Hata ofisini au popote penye jambo la kukubaliana, mnaweza kukubaliana jambo kabisa, muda ukifika anatenda anavyojisikia yeye kwa wakati huo, makubaliano anayatupilia mbali! Anachokwambia sicho atakachotenda! Kwa hiyo asishangae mtu yeyote CCM au "fisadi" kama wengine walivyosema kushinda huko. Uchaguzi uliopita classmate wangu Anthony Komu (ni mwenyeji wa huko) alienda kugombea ubunge Moshi vijijini, bahati mbaya sikupata nafasi ya kuonana nae kabla hajaanza kampeni, ningemwuliza "utawaweza ndugu zako wale"? Maana kule kila mgombea wanamhakikishia kabisa "ni wewe tu, hakuna mwingine!" Kumbe fiksi tu ikifika siku ya kura kila mtu na lwake moyoni! Walimpiga chini ndugu yao Komu, sijui yuko wapi siku hizi!
 
Watu wawe fair basi; siyo CCM wala Chadema walioleta helikopta hadi karibu siku tano za mwisho za kampeni iliyodumu kwa wiki nne. Hivyo sidhani kama helikopta zinaweza kuleta tofauti yeyote kwani kwa karibu asilimia 75 (wiki tatu) kampeni za CCM na Chadema zimefanywa kwa old fashioned way; kwa kutumia barabara.
 
latest from Tarime, mvua inanyesha, Chadema wanasheherekea ushindi hata kabla ya matokeo rasmi. FFU wanatembeza kichapo na mabomu ya machozi. CCM waikimbia Tarime na kuhama mahotelini usiku huu kabla hakujakucha kwa kuhofia usalama wao. Kamanda Tossi na vijana wake leo hakuna kulala.
Bado naubiria breaking news ya iITV hiyooo...
 
Tutajiandaa vipi wakati waliotakiwa kutoa maamuzi, ushauri, malalamiko n.k., walizikimbia hizo barabara za walalahoi?
Na hili ndio tatizo letu kubwa (Kujiandaa).....kama kwenye mambo madogo kama haya hatuwezi kuyafanikisha kwa ufanisi makubwa tutaweza?
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 101 (36 members and 65 guests)

255Texter, Alpha, Augustoons, Biggiebiggie, Bubu ataka kusema, COMRADE44, darwin, hofstede, Kichwangumu, Kigoma, Kithuku, Kitila Mkumbo, kudi shauri, Lunyungu, macinkus, mag3, Masatu, MawazoMatatu, mkuu, Mtanzania, Mtu Kwao, mwalimuzawadi, mwikimbi, nono, nziku, Pasco, Peasant, phillemon mikael, positive Thinker, Sabri-bachani, Sekenke, Sunshine, tanzactive, TooGood

Watu wanakesha hapa!!
 
latest from Tarime, mvua inanyesha, Chadema wanasheherekea ushindi hata kabla ya matokeo rasmi. FFU wanatembeza kichapo na mabomu ya machozi. CCM waikimbia Tarime na kuhama mahotelini usiku huu kabla hakujakucha kwa kuhofia usalama wao. Kamanda Tossi na vijana wake leo hakuna kulala.
Bado naubiria breaking news ya iITV hiyooo...

Msekwa alikuwa CMG na Makamba alifikia nyumbani kwa CMG mwenyewe......labda wameona ngoma imekuwa nzito....na nyumbani hakukaliki. Chadema wanaongoza na matokeo yanakaribia kutangazwa.....watu wa Tarime kamwe hawawezi kukubali kushurutishwa kuchagua viongozi wao....
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 101 (36 members and 65 guests)

255Texter, Alpha, Augustoons, Biggiebiggie, Bubu ataka kusema, COMRADE44, darwin, hofstede, Kichwangumu, Kigoma, Kithuku, Kitila Mkumbo, kudi shauri, Lunyungu, macinkus, mag3, Masatu, MawazoMatatu, mkuu, Mtanzania, Mtu Kwao, mwalimuzawadi, mwikimbi, nono, nziku, Pasco, Peasant, phillemon mikael, positive Thinker, Sabri-bachani, Sekenke, Sunshine, tanzactive, TooGood

Watu wanakesha hapa!!

Si mpaka kieleweke, au?
 
Breaking News live toka Tarime zimerushwa na ITV na Radio One toka kwa msimamizi wa uchaguzi Tarime nothing official. ITV na Radio One watatangaza live tena kabla ya saa 6 usiku huu. Kaeni mkao wa kula.
 
Wakati tunakwenda hewani kura zinathibitishwa na msimamizi wa uchaguzi jimboni pamoja na mawakala wote.

Mpashaji yuko bize kuhakikisha mambo yanakwenda sawa.Atanijulisha mara baada ya kuwa wote wameridhika.Hata hivyo kutangaza mshindi siyo chini ya saa saba.

Tusubiri
 
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
Majumuisho ya kura yamefanywa kwa vituo vyote isipokuwa vituo SITA tu.Kazi inaendelea kwa sasa ila mgombea wa CHADEMA anaongoza kwa tofauti ya kura 3000.
Stay tuned
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom