Msema Hovyo100
Member
- Feb 28, 2017
- 54
- 23
Kuna wabunge wana kelele kama gari la zimamoto lakini halina spidi.
Nimesikiliza hotuba ya Halima Mdee anayesifiwa kuwa alicharuka bungeni sikuona point yeyote ya maana aliyoongea. Hivi upinzani ni kupinga kila kitu anachofanya rais? Huyu mbunge amelaani mpaka kununua ndege. Hajafika Addis akaona midege zaidi ya mia ya Ethiopian airlines imebarizi pale. Acha zilizo hewani na zilizo nchi za watu.
Ethiopian Airline inatingisha anga za dunia na hata Ulaya kuna nchi hazina airline kubwa kama ya Ethiopia. Je hizo ndege haiingizi kipato kikubwa kwa nchi kuliko mashamba ya mahindi ya kienyeji?