Elections 2010 Ubunge segerea

seams

Member
Nov 3, 2010
10
0
HEBU NIAMBIENI WAKINA GREAT THINKERS Plato, Socrates, Aristotle, Rousseau, Voltaire, Kant, Foucault, Locke, ...

HIVI INAINGIAJE AKILINI MTU ALIYEKAMATWA NA MASANDUKU YA KURA ATANGAZWE MKSHINDI???????? AU TAARIFA ZILE ZILIPIKWAAAAAAAA????????
 
LISILOWEZEKANA KWA WENGINE LAWEZEKANA KWA CCM, Usishangae huo ndio ukweli
 
NI udhaifu uliotukuka wa mfumo wetu wa demokrasia ya kifisadi na ya kijambazi. Poleni wananchi wa Segerea kwa kupata mwakilishi mwizi
 
Mahakama si ccm,itatenda haki.najua jaji augustino ramadhani ni makini sana
 
my dear umepotea kabsaaaaa, sheria na haki ni vitu viwili tofauti kabisa! kushinda kwake hakuhusiani na tabia yake, ni kura za wananchi. thanks
 
my dear umepotea kabsaaaaa, sheria na haki ni vitu viwili tofauti kabisa! kushinda kwake hakuhusiani na tabia yake, ni kura za wananchi. thanks

are you sure ni kura za wananchi??????? alizokamatwa nazo jeeee??? wamanchi
walizipigia wapi????????
 
are you sure ni kura za wananchi??????? alizokamatwa nazo jeeee??? wamanchi
walizipigia wapi????????

Hapa ndo kwanza mwanzo wa mapambano. Dk Slaa na wenzake wameanzisha. Sasa ni zamu yetu wananchi kuonesha umakini na nguvu tuliyo nayo katika kukataa maovu ya CCM.
 
Mahakama si ccm,itatenda haki.najua jaji augustino ramadhani ni makini sana

Mahakama ipi? Ya Tanzania au The Hague?? Majaji wapi? Akina A Ramadahani?? Si hao ndiyo hao vijana wa L. Makame?? Hivi unafikiri Makame na Ramadhani wanatofauti yeyeto kimsimamo zaidi ya ndiyo mzee kwa CCM. Ndiyo hivyo tulivyokuzwa na kufundishwa JKT. Si hao hao akina Mh. Ramadhani ndiyo walioitupa kesi ya Mtikira ya kudai wagombea binafsi. Tanzania mahakama siyo huru kama wanavyotaka kutudanganya. Kwa taarifa yako mahakama ya Iran, Iraq na Pakstani ziko huru kuliko mahakama yetu.
 
Mahakama si ccm,itatenda haki.najua jaji augustino ramadhani ni makini sana

NI kweli mahakama si "Chama Cha Mafisadi" ila mahakamani kuna baadhi ya wafanyakazi vibaraka wa mafisadi. Huhitaji akili ya ziada kulifahamu hilo.
 
Back
Top Bottom